Naona si sahihi mtu kuweka plate namba ya Jina lake

Hakuna mwenye pesa anafanya huo upumbavu. Hao ni malimbukeni. Fikiria mtu yeyote mwenyepesa anayekuijia kichwani haraka haraka halafu angalia kama anafanya huo ushamba.
Mbona Dewji Vogue yake plate number kaweka MO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…