Naona si sahihi mtu kuweka plate namba ya Jina lake

Hakuna mwenye pesa anafanya huo upumbavu. Hao ni malimbukeni. Fikiria mtu yeyote mwenyepesa anayekuijia kichwani haraka haraka halafu angalia kama anafanya huo ushamba.
Mkuu....
Kwani we nimaskini ama tajiri??
 
Kama kitu huwezi kufanya usiwaone wengine washamba na wewe ndio mjuzi wa vyote, Kila mtu afanye kitu kinachompa furaha as long as havunji Sheria ya nchi, jifunze kufurahia wengine so far Mimi nakuona wewe ndio limbukeni
 
Hakuna mwenye pesa anafanya huo upumbavu. Hao ni malimbukeni. Fikiria mtu yeyote mwenyepesa anayekuijia kichwani haraka haraka halafu angalia kama anafanya huo ushamba.
Usitusemee wenye pesa hiyo research Yako ni ya wapi? Jifunze kufurahia wengine
 
Sio sahihi na wanaoweza kufanya hivyo ni akina nshomile🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…