Naona si sahihi mtu kuweka plate namba ya Jina lake

Mods nanyie acheni ulimbukeni. Mmebadilisha tittle ya andiko langu mmepoteza dhima nzima niliyomaanisha. Mnajikuta nyie ndo mnaakili sana ama?!

Nimesema Kuweka Plate namba ya jina ni ulimbukeni. Sijasema sio sahihi. Kuna tofauti.
 
kumbe jamaa katrombewa mkewe na lile jamaa limeandika jina la asili kwenye gari lakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio maana mwamba haelewi anamaliza hasira zake jamani
 
Mambo haya yametokea wapi tena?!😒
ndo ukweli huo nimesumbuka bure kuandika ili uelewe uache wivu kumbe ww una chuki na aliempiga pipe wife wakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

sasa kama wife anapenda gari lenye jina ww ni nani usilipende ila pole asee mwamba alishajikataa kitambo ww ndio umejua hivi karibuni
 
Wa nae ndo yaleyale ma limbukeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…