Naona suala la michepuko linaonekana ni sawa kwa upande mmoja

Wewe unaweza kumpenda mwanaume anayelala na mkeo na mkasaidiana kimaisha? Ni rahisi kwa mwizi kutaka amani na mmiliki; ila hata yeye angekuwa mkeo wa ndoa asingekubali kamwe kupatana na mchepuko wa mume wake.
 
Ndo hivyo...
Na ndo maana baadhi ya Dini na makabila waliliona hili na kutaka kuwepo na wanawake zaidi ya wawili kwa mwanaume mmoja kwa ajili ya kusaidiana maisha...
 
In reality hata ambao dini inawaruhusu; wengi hawapendi uke wenza, na hawapendani. Ni vile tu dini ndiyo inaruhusu
 
Kutokupendana wake wenza ni kutokana kuwa mmoja humzidi mwenzie maarifa ya maisha.
Kwa maana akili na uwezo wa kupembua mambo hutofautiana.Sasa hapo ndo vita ilipo.
Pia uzuri kumzidi mwenzie pamoja na ubunifu hahahahaha... Mmoja lazima aroge.
 
Dah...
Hapo pagumu sanaa Dah...
 
Sasa si ndio maana tunawaoa yaani tutazunguka kote ila kwa mke ndio mwisho ndio maana nasema yan mwanaume akikuoa ni respect kubwa anakupenda sana huko nje ni tamaa tu za kuonja ladha ni nature inatutesa
Respect gani na usaliti??
U dont respect marriage ndo mana mnasaliti..hamna a better way to say it

Huamini subiri siku mke aonjwe nje..hio ndoa itavunjika...usaliti is disrespectful period
 
Km huridhiki si uoe rasmi??

ijulikane ni wake wenza
Kinachokera ni kuvalishwa shela na kuapishwa uaminifu na mume mbele ya umma kitu ambacho sio kweli

Uke wenza official unapunguza stress
Ila issue ni utakua fair kwa wote??
Unaweza kuwatunza wote?? Ama mnachoweza ni kujificha tu?
 
Respect gani na usaliti??
U dont respect marriage ndo mana mnasaliti..hamna a better way to say it

Huamini subiri siku mke aonjwe nje..hio ndoa itavunjika...usaliti is disrespectful period
Sasa mnataka tusemeje na mnajua hatufanyi maksudi haya ? Na wewe unafahamu hilo kabisa sema ubishi tu kung'ang'ania nyeusi iwe nyekundu
 
Respect gani na usaliti??
U dont respect marriage ndo mana mnasaliti..hamna a better way to say it

Huamini subiri siku mke aonjwe nje..hio ndoa itavunjika...usaliti is disrespectful period
Hahaha kwani mke kuonjwa nje sii ndio vizuri akajifunze style mupya mupya
 
Kutokupendana wake wenza ni kutokana kuwa mmoja humzidi mwenzie maarifa ya maisha.
Kwa maana akili na uwezo wa kupembua mambo hutofautiana.Sasa hapo ndo vita ilipo.
Pia uzuri kumzidi mwenzie pamoja na ubunifu hahahahaha... Mmoja lazima aroge.
Sio kweli
Kinacholeta husda ni mume kushindwa kupenda watu 2 kwa usawa
Kuna mahali ataelemea tu na hapo lazima kuwepo na vita

Unajitia kupenda 2 ila hujui kubalance
 
Oa mke ajijue wako 2
Sio kumuaminisha yuko peke yake wkt unamdanganya
Umeongea ukweli mtupu ndio maana mie mademu wote niliowachakata mbususu niliwaambia toka mwanzo am not a one woman man na mbususu zao walinipa...wabarikiwe sana hao wanawake.
 
Wewe unaweza kumpenda mwanaume anayelala na mkeo na mkasaidiana kimaisha? Ni rahisi kwa mwizi kutaka amani na mmiliki; ila hata yeye angekuwa mkeo wa ndoa asingekubali kamwe kupatana na mchepuko wa mume wake.
Mkuki kwa nguruwe
Hawajui maumivu yake mbwa hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…