Naona suala la michepuko linaonekana ni sawa kwa upande mmoja

Naona suala la michepuko linaonekana ni sawa kwa upande mmoja

N

Kweli nimeichukua hiyo...
Ila kweli natamani siku moja wajuane na wasaidiane...Maana huyu mchepuko ni mjuvi sana wa biashara kubwa hapa jiji la kariakoo.
Mkewangu nae pia ni mfanya biashara tuu mzuri japo mitaji ndo tofauti...
Any way kanuni yangu ni kuwa muda ndo utakao ongea hapo baadae
Wewe unaweza kumpenda mwanaume anayelala na mkeo na mkasaidiana kimaisha? Ni rahisi kwa mwizi kutaka amani na mmiliki; ila hata yeye angekuwa mkeo wa ndoa asingekubali kamwe kupatana na mchepuko wa mume wake.
 
Ndo hivyo...
Na ndo maana baadhi ya Dini na makabila waliliona hili na kutaka kuwepo na wanawake zaidi ya wawili kwa mwanaume mmoja kwa ajili ya kusaidiana maisha...
 
Ndo hivyo...
Na ndo maana baadhi ya Dini na makabila waliliona hili na kutaka kuwepo na wanawake zaidi ya wawili kwa mwanaume mmoja kwa ajili ya kusaidiana maisha...
In reality hata ambao dini inawaruhusu; wengi hawapendi uke wenza, na hawapendani. Ni vile tu dini ndiyo inaruhusu
 
In reality hata ambao dini inawaruhusu; wengi hawapendi uke wenza, na hawapendani. Ni vile tu dini ndiyo inaruhusu
Kutokupendana wake wenza ni kutokana kuwa mmoja humzidi mwenzie maarifa ya maisha.
Kwa maana akili na uwezo wa kupembua mambo hutofautiana.Sasa hapo ndo vita ilipo.
Pia uzuri kumzidi mwenzie pamoja na ubunifu hahahahaha... Mmoja lazima aroge.
 
Mkuu, ni hivi aliingia akijua una mke,hivyo akakubali vigezo na masharti, na huwenda alijua naye anapitisha wakati huku akisubiri yule Mungu aliyempangia ili aanzishe familiya.

Sasa amejikuta kanasa, anakuelewa na bahati nzuri unamuelewa pia,Moyoni mwake hakuna mwanaume mwingine tofauti na wewe. Wakati huohuo kumbuka nia na tamanio lake la kuwa na familiya inayotambulika iko palepale.

Sasa mtu pekee anayeikwamisha ndoto hiyo ni mkeo tu. Niamini anaweza akafanya elimination ya mkeo,na ili mia yake ya kuolewa na wewe itimie hata siku moja hatoonesha kabisa kwamba amfurahii mkeo. Namaanisha hata sasa huo upendo unaousema anao kwa mkeo ni wakutengeneza tu.

Mkuu,ili uwe na mchepuko na husilete madhara kwa mkeo, ni mchepuko husiwe na hakika kwamba kwa vyovyote yeye ndiye mke likimtokea la kitokea mkeo.

Sasa kwa case yako,mahusiano uliyonayo na mchepuko ni makubwa kuliko mke mwenyewe na mchepuko unayajua hayo ni lazima mkeo awe adui wa moyo wake.

Kuna uwezekano mkubwa mchepuko wako ukamuua mkeo.
Dah...
Hapo pagumu sanaa Dah...
 
Sasa si ndio maana tunawaoa yaani tutazunguka kote ila kwa mke ndio mwisho ndio maana nasema yan mwanaume akikuoa ni respect kubwa anakupenda sana huko nje ni tamaa tu za kuonja ladha ni nature inatutesa
Respect gani na usaliti??
U dont respect marriage ndo mana mnasaliti..hamna a better way to say it

Huamini subiri siku mke aonjwe nje..hio ndoa itavunjika...usaliti is disrespectful period
 
Tuliza makeke bidada, Mchepuko yupo kubalance maisha ya kwenye Ndoa. Nyie kama mnataka wanaume wasiochepuka basi umbeni wa kwenu. Ila ukweli ni kwamba “Men are polygamous in nature” hizi habari za kuanza kuambizana sijui imepita hapa mara kule ni kujisumbua tu.
Nikwambie wewe dada mwenye Jina zuri kabisa na Mtoa maada: Kama unamumeo au Bf wako hujawahi kusikia anamchepuko basi tambua kabisa Huyo mumeo ni Pro kwenye kuchepuka. Kuna michepuko iko smart sana. Ukiingia kwa inbox ya mumeo utakuta wanachati just as friends do ila mambo mengi yanaishia kwa Simu. So msituhangaishe hapa. Suala la kuwa mwanamke mmoja kwa maisha haya mafupi ni Ngumu sana.
Ipo mifano mingi tu kwenye Biblia ikionyesha how polygamous men are, So stop dreaming and live the reality of it. I just wanna give you this of advice Madamme, If you want your marriage or relationship last, stop overthinking and trust your man assuming he doesn’t have one unless otherwise you wanna live as single mother full of hatred towards men. I am sorry to tell you that believing that The man can be satisfied with one woman is an delusional. Kinachomfanya mwanaume aonekane ametulia ni mambo kati ya haya yafuatayo;
  • He is broke
  • His manhood is doubtful
  • He is Brainwashed
Km huridhiki si uoe rasmi??

ijulikane ni wake wenza
Kinachokera ni kuvalishwa shela na kuapishwa uaminifu na mume mbele ya umma kitu ambacho sio kweli

Uke wenza official unapunguza stress
Ila issue ni utakua fair kwa wote??
Unaweza kuwatunza wote?? Ama mnachoweza ni kujificha tu?
 
Respect gani na usaliti??
U dont respect marriage ndo mana mnasaliti..hamna a better way to say it

Huamini subiri siku mke aonjwe nje..hio ndoa itavunjika...usaliti is disrespectful period
Sasa mnataka tusemeje na mnajua hatufanyi maksudi haya ? Na wewe unafahamu hilo kabisa sema ubishi tu kung'ang'ania nyeusi iwe nyekundu
 
Respect gani na usaliti??
U dont respect marriage ndo mana mnasaliti..hamna a better way to say it

Huamini subiri siku mke aonjwe nje..hio ndoa itavunjika...usaliti is disrespectful period
Hahaha kwani mke kuonjwa nje sii ndio vizuri akajifunze style mupya mupya
 
Kutokupendana wake wenza ni kutokana kuwa mmoja humzidi mwenzie maarifa ya maisha.
Kwa maana akili na uwezo wa kupembua mambo hutofautiana.Sasa hapo ndo vita ilipo.
Pia uzuri kumzidi mwenzie pamoja na ubunifu hahahahaha... Mmoja lazima aroge.
Sio kweli
Kinacholeta husda ni mume kushindwa kupenda watu 2 kwa usawa
Kuna mahali ataelemea tu na hapo lazima kuwepo na vita

Unajitia kupenda 2 ila hujui kubalance
 
Oa mke ajijue wako 2
Sio kumuaminisha yuko peke yake wkt unamdanganya
Umeongea ukweli mtupu ndio maana mie mademu wote niliowachakata mbususu niliwaambia toka mwanzo am not a one woman man na mbususu zao walinipa...wabarikiwe sana hao wanawake.
 
Wewe unaweza kumpenda mwanaume anayelala na mkeo na mkasaidiana kimaisha? Ni rahisi kwa mwizi kutaka amani na mmiliki; ila hata yeye angekuwa mkeo wa ndoa asingekubali kamwe kupatana na mchepuko wa mume wake.
Mkuki kwa nguruwe
Hawajui maumivu yake mbwa hawa
 
Back
Top Bottom