Naona Urusi imeshazungukwa na NATO tayari. Muda wowote anakamatwa

Si muda atapeleka Serbia wale jamaa bado wana usongo mkubwa na Nato
 
Kwenye Uchumi wa west umeboronga. Kama uchumi wa west unayumba, Russia ni zaidi
 


Naona unadhania Russia ni Iraq au Syria au Libya…!! Huijui Russia hata kidogo wewe wala historia hujui, ungeulizia vita vya pili vya dunia nani alimdhibiti na kuipiga Germany, ujue wazi Russia nj hatari sana, jua hapo Ukraine NATO iko tangia vita vinaanza hadi leo, na bado wameshindwa kutoa Russia Ukraine, NATO wako kibao hapo Ukraine na wameshindwa, hiyo hadithi eti NATO sasa inaanza sijui kujiandaa ni uongo mtupu, NATO hakohoi mbele ya Russia
 
Nakushauri kajisomee Kijitabu cha Tim Marshall....Prisoner of Geography...bila shaka utatoa maoni yako vizuri Ndugu.
 
🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺‼️Join Orchestra‼️
Salary from 2500€, high bonuses, payment guarantees , internal awards, health insurance, modern weapons, payments for any injury or death.

Join Wagner now‼️
☎️ +7 (988) 604-32-95
☎️ 19 +7 (988) 322-43-37

📍Krym
 

Attachments

  • IMG_20240609_172723.jpg
    276.6 KB · Views: 4
Hivi hata Ramani ya Urusi unaijua? Ukitoa magharibi kwa Urusi ambapo kunapaka na Ulaya Urusi pia anapakana na North Korea, China, Mongolia, Kazakhstan etc kifupi hizo nchi 3 China, Mongolia na Kazakhstan ndio zina mpaka mkubwa kushinda zote.
 
Kwani Putin ni mmakonde?
 
Wazungu gani? Kwani Putin siyo mzungu?
 
Akili gani wanazo wewe hivi we una uhakika gani kama Mrusi na yeye alikuwa hajipangi au unahakika gani kama Mrusi anatumia full power yake.

Hizo akili zako ziko mbali sana na elimu ya military strategy nenda ukalime bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…