Naona Urusi imeshazungukwa na NATO tayari. Muda wowote anakamatwa

Unaongozwa na hisia na chuki Huna facts nakuonyesha ukilaza unadiriki sema USA watakuwa na civil war
Kilichotaokea kutoka January 6 2021 kinaitwaje? Sasa subiria Trump awekwe jela. Lakini pia Huyo Yankees apige boom strategic areas za Urusi majibu yake yatakuwa civil war.

Shida Yako na Yankees wote ni mahaba ya ukubwa. Yameshaisha bro
 
Watu wengi hawajuwi hili. Putting ameshapoteza wanajeshi wengi sana while nato ndio kwanza anajianda. Mwisho putting mtasikia amefariki. Kama wamemuondoa rais wa Iran
Kwa hiyo NATO wanavizia Urusi ipungukiwe wanajeshi.?
Aisee.!
Kwa hiyo ukweli utabaki pale pale kua urusi ni taifa lenye nguvu zaidi hapa duniani kijeshi kiasi nchi moja peke yake ya west haiwezi kuingia vitani na Urusi.
Hata wakimuua Putin Sasa hivi nao ni udhaifu mkubwa wa nchi za west,kwamba bila kumuua Putin hawawezi kumshinda wala kuishinda Urusi.
Kumbuka njia za kumvizia na kutaka kumuua ni ugaidi nauganidi siku zote ni njia za watu waoga.
Na Kwa miaka yote west wamekua wakijinasibu kupigana na kupinga ugaidi lakini Leo hii wao wenyewe wamekua magaidi.
 
Kuna kitu hujaweka sawa neno corruption nchi za magharibi ni corrupt zaidi kuliko hiyo Russia unayosema. Fuatilia corruption scandals za Ukraine, fuatilia uuzaji wa silaha za kimarekani, fuatilia vita na mapinduzi kwenye nchi nyingi duniani Marekani na rushwa kwa viongozi wanaongiza mapinduzi hayo etc.

pia soma hapa Sarkozy’s ex-supermodel wife charged in Libya corruption case
 
Kichapo

View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1800551158060093598?t=P6K4Brq-3PVcJnV2MhNvqA&s=19
 
Kwa dunia hii ya tatu tunayoishi, tukubali kujadili chochote kuhusu nchi zilizoendelea na changamoto wanazopitia. Kwa sababu hatujui chochote kile kuwahusu wao. Taarifa tunazoleteana humu tunazisoma from other sources kitu ambacho hatujui kama ni za kweli au uongo.
Tuendelee kua watazamaji tu lakini hadhi yetu weusi ni ndogo mno kujadili mambo ya warusi wamarekani na waulaya
 
We lala tu😂😂😂
 
Hili la civil war naliona pia mkuu
 

Hapa ndo unajua Kuna mbogo hazina akili.
 
Unafaa kuchambua karanga😀
 
Hivi warusi sio wazungu!? Kama warusi ni wazungu basi nao wana akili nyingi sana...
 
Reality check.
Russia hakuwa na sababu ya kupigana na ndugu yake Ukraine.
Na kwa udhaifu huo kajimaliza kizungu kwa wazungu wenzake.
Putin alitaka kuongeza CV za kuwa Russian Empire old stone age syndrome.
Endelea kuota
Siku utayoona Russia haipo ujue hata hio Nato haitakuwepo
Russia haiwezi kumalizika kwa kuingia vitani kijana
Njia pekee ya Russia kujimaliza ni labda kama itatokea civil war ila nje ya hapo poleni sana
 
Watu wengi hawajuwi hili. Putting ameshapoteza wanajeshi wengi sana while nato ndio kwanza anajianda. Mwisho putting mtasikia amefariki. Kama wamemuondoa rais wa Iran
Au yule makamo wa rais wa zambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…