Nani anategemea kuliwa na wewe mzabzab Kaa kwakutulia na 40 Yako wewe unaonewagwa hurumaMnaogopa mtakufa njaaa
Kabisa na nina imani tutafikia muafaka mzuriMaridhiano muhimu sana kabla hatujapitisha katiba mpya.
ππππ Nonono! Please tunaijua hiyoπππI know ila sasa hivi hatutapretend tena tumekomaπ€£.
Tupeni nafasi ya mwisho muone how sweet and wanyenyekevu we can be pleaseππ€£
Akikuzingua unanunua ya saizi Yako Tena Ile ya betri umeme ukikatika unaendelea na zanaSiwez na sijawahi...nitaanzaje kutumia mom?
Miye tenaaa, unategemea mtt laini kama huyo baharia ntamuachaje mzeeKumbe unamjua huyu binti...? π₯Ίπ³
Ringeni tutoke na marobot π€π€£π
Hapa Sasa una Kwama, miaka yote una kunwa na nn?Achana nao bhana,dudu zenyewe za kufanyia wanazo?
Sawa ila kua makini na either kisu, prize,spoku au nyundo ya kichwaKuna mtu kashaamua kunioa mazima
QmmmmmQe roboti linapiga mauno mpaka unamwomba msamahaApo umemaliza mkuu wao kaz yao kuinamisha kichwa tu bao zote sass c bora robot mda wote lipo kama katoto
Sawa ila sisi na nyie tumetoka mbali jamaniπ.Hhahaa hata mkitupa bure kuna vikorokoro hamtaweza kutupea ila maroboti yatatupea kazi mnayo mwaka huu π€£
Hawatumii umeme wao wanchargiwa tu wanakaa wiki ndio wanazima au wiki mbili inategemea umenunu how muchRoboti sawa na mkono au sabuni
Roboti hana kisirani ila utapata kisirani cha tanesco
Roboti hacheat sababu remote unatembea nayo
Acha remote uone kama hajapandiwa
Hofu ya kuchapiwa haitawaacha salama ,,,
Shindwa kwaniniSawa ila kua makini na either kisu, prize,spoku au nyundo ya kichwa
Pole hata gesi ilivyokuja wauza mkaa walipata hofu ila bado mkaa una matumizi japo kwa nadra sana..π€£π€£π
Elon hajawahi kukosea, bila face id ya mmiliki halivui kyupi π€Eeh yani mbususu ina passwordπ²π²π²π² kweli jamaa katisha. No kugomgewa sio hizi za hawa warembo kila njemba mwenye hela anachovya
ππππππππ Nonono! Please tunaijua hiyoπππ
Mshatupiga sana vizinga mmekula sana nauli zetu na mmetuchit sana tuacheni watoto wa wanawake wenzenu tupumzike sasa na mirobot yetu πSawa ila sisi na nyie tumetoka mbali jamaniπ.
Fikirien kabla ya kutenda
Yethu wangu, Basi usimwage mchele kwenye kuku wengi..... πMiye tenaaa, unategemea mtt laini kama huyo baharia ntamuachaje mzee
Ngoja waje sisi watumiaji ndo tutatoa maoni wewe endelea kufunga na kuomba wasiwe watamu.Roboti sawa na mkono au sabuni
Roboti hana kisirani ila utapata kisirani cha tanesco
Roboti hacheat sababu remote unatembea nayo
Acha remote uone kama hajapandiwa
Hofu ya kuchapiwa haitawaacha salama ,,,
Machozi ya uongoπππππππ