Mkungunero
JF-Expert Member
- Aug 13, 2023
- 401
- 569
Hebu fikiri eti akina Mdude, Slaa na Mwabukusi eti wanatoa tamko la maandamano Leo. Kwa tuliojaliwa kuwa na akili tayari huo ni mpasuko mkubwa kwa vyama vya upinzani kwamba wameishiwa pumzi sasa wanatafuta wasiokuwa na vyama wawasaidie huenda watawasikiliza.
Sisi tutajiuliza mbona Slaa aliteuliwa na CCM hiyohiyo kuwa balozi na akadiriki kusema Mbowe ni gaidi na aliwahi kuponda eti katiba mpya so lolote Wala chochote, Sasa imekuwaje Leo. Je, pesa imemuishia sasa anatafuta sympathy angalia watu wamrushie kwa mpesa?
Jamani vyama vya upinzani tafuteni watu weledi wawasaidie sisi huku tunacheka tu hivi vituko mnavyofanya.
Sasa fanyeni hivi: Achaneni na Mbowe kama mwenyeketi maana elimu yake na hapa na pale ya kuokoteza, teueni angalau prof au doctor awasaidie. Achaneni na Mnyika kama karibu mkuu maana ana elimu ya form six tu mambo yamemuelemea kulingana na uwezo wake mdogo.