Naona wazazi wangu wamenichoka, ni muda sasa nami nianze kujitegemea

Siku hz wazaz wengi wamekuwa hvyo,hasa hasa naona mabinti wanapitia hii hali sana
 
Ndugu kuna wazazi wa dizaini hyo... Kuna watu wakisikia boom wanaona watoto huko wanatumbua tu Maisha wakati wenyewe wamesuffer kukufikisha hapo...
Ndo ukae umueleweshe sasa.

Hiyo kukaa kimya sio suluhu, kama anadhani boom ni pesa nyingi basi wewe mtoto kaa nae umuelekeze vizuri. Huenda hata akakusaidia.

Sasa kukomaa kiume na kuja kulia mtandaoni sio suluhu.
 
Majuzi kati hapa niliambiwa sikuhizi hapo home sifanyi kazi na ninachelewa kurudi nyumbani, nikiwauliza wazazi wangu ni kazi gani wanataka mimi nizifanye hapa nyumbani naambiwa nioshe vyombo, mara nifyeke majani na mikazi mengine kibao.
Hii maana yake ondoka mtafute wa kukuoshea vyombo, hivi huzijui ishara za mama zetu wanavyowaambia vijana wa kiume wanmtafute mwanamke na waishi nae huko ? Hawakwambii directly wanakwambia kwa mafumbo, kwa hio tafuta sehemu anzisha makazi yako panga chumba amua utaOSHA vyombo mwenyewe au utamfuta manzi uishi nae awe anakusaidia kuosha vyombo, hivyo ndivyo mama yako alivyomaanisha kwamba umekua, ukitaka kua mtoto OSHA vyombo hutaki tafuta sehemu kapange vuta mwanamke ishi nae akuoshee vyombo
 
Sema ni mazoeaa tu.. sisi tumezaliwa wa kiume hadi leo nikienda home Napiga deki.. nalisha mifugo...kufagiaa kawaidaa sanaa yani mpaka jioni mama alikuwa anapika hapo tunapiga story huku mimi nakata nyanya...!! Sijawahi kataa kazi akinituma mazaaa hadi siku nilipompoteza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Alikuwa anasema mimi mwanangu ukinikosea adabu ntakupiga hata mbele ya mkeo nakwambiaa...[emoji3]She was the best mum may she rest in paradise.
Mimi Nina familia mke na Watoto na Dada wa kazi lakini kuna siku nataka kupika mwenyewe niwatolee vitu adimu vya kibaharia.

Maisha yangu yote nikimaliza kula natowa vyombo vyangu na naviosha mwenyewe muda huohuo, hii tabia nimejifunza kwa mama yangu ilikuwa ni sheria ukimaliza kula osha vyombo vyako, nimezoea hii tabia mpaka kuna siku tulisafiri kwa wakwe zangu wakashangaa nimemaliza kula nimetowa vyombo mwenyewe na nimeshaviosha walishangaa nikawaambia wazi Mimi tumelelewa hivyo siwezi kubadirika ukubwani.

Kuna sheria ndogondogo Nyumbani kwangu Watoto wanashindwa kuzifuata lakini wakianza maisha yao watanikumbuka sana, wao ndio wanawasha taa za nje usiku lakini asubuhi Mimi ndio nazima, kuna sheria yangu nyingine chumba chochote kama hakuna mtu taa zizimwe, unapokwenda kuoga bafuni wakati wa kujipaka Sabuni na kujisuguwa funga shower kwanza ukimaliza hayo ndio ufunguwe shower, najaribu kuwaeleza kwa lugha rahisi wakiweza kuyafanya hayo watasaidia kunipunguzia gharama za bill kwa mwezi pesa itakayookolewa ni bora niwatowe out wao wakale Kuku, lakini hili somo limeshindikana, ila utakapofika muda wa wao kuanza kucover bill zao watashangaa niliwezaje kuwahudumia wao na kucover bill zote, muda ndio Mwalimu mzuri.
 
Sasa huyo bwana ni mdogo sana,Kama kashindwa tu kuvumilia kugombezwa na Maza ataweza magombezo ya dunia??Dunia unagombeza nyie sio poa😅😅😅😅
Una akili mtu wangu🤣
 
Ila ndg Pia kuna vitu vitu vya ziada Kama kitanda je utachukua cha home?? Vipi mdingi yupo naye ana mtazamo Gani juu yako
Bado sijawapanga wazazi suala langu la kuanza kukaa ghetto ila soon nitawaambia ili niweze kuaga kwa amani nipate baraka za wazazi maana ni muhimu, kuhusu vitu vya ghetto naanza na godoro la 5 kwa sita pazia mengine yatakuja baadae tu mkuu kidogo kidogo Mungu atasaidia
 
kumbe 😂
Wewe ni mkaidi na inavyoelekea huzipendi hizo kazi na hivyo huwa huzifanyi vizuri ndio maana unaambiwa rudia.Ukikua utawaelewa wazazi wako(mama).Si nawe utakuwa na watoto? Basi kua uyaone.Ila safari njema kuelekea ghetto.Hata huko kazi utazikuta tena ukiondoka asbh hujaosha chombo ukirudi utakuta kinakusubiri.Ukizingua kinaota hadi fungus.Usipotandika kitanda utakikuta jioni kinakusubiri.Usipofuta vumbi vioo milango na kudeki subiri wadudu,nzi na magonjwa yanayotokana na uchafu.Mafundisho ya mzazi ni konki,utake usitake utakutana nayo maishani.Ukishupaza fuvu,dunia inaingia kukufunza..halafu hapo sasa utajifunza kwa njia ngumu.
 
Hii maana yake ondoka mtafute wa kukuoshea vyombo, hivi huzijui ishara za mama zetu wanavyowaambia vijana wa kiume wanmtafute mwanamke na waishi nae huko ? Hawakwambii directly wanakwambia kwa mafumbo, kwa hio tafuta sehemu anzisha makazi yako panga chumba amua utaOSHA vyombo mwenyewe au utamfuta manzi uishi nae awe anakusaidia kuosha vyombo, hivyo ndivyo mama yako alivyomaanisha kwamba umekua, ukitaka kua mtoto OSHA vyombo hutaki tafuta sehemu kapange vuta mwanamke ishi nae akuoshee vyombo
Vyombo sio kwamba sioshi mkuu!! Vyombo naosha sema maza bado atakufokea mara huoshi vyombo vizuri mara vyombo utavivunja unavibamiza kwa nguvu yaani maneno ni mengi
 
Mimi Nina familia mke na Watoto na Dada wa kazi lakini kuna siku nataka kupika mwenyewe niwatolee vitu adimu vya kibaharia.

Maisha yangu yote nikimaliza kula natowa vyombo vyangu na naviosha mwenyewe muda huohuo, hii tabia nimejifunza kwa mama yangu ilikuwa ni sheria ukimaliza kula osha vyombo vyako, nimezoea hii tabia mpaka kuna siku tulisafiri kwa wake zangu wakashangaa nimemaliza kula nimetowa vyombo mwenyewe na nimeshaviosha walishangaa nikawaambia wazi Mimi tumelelewa hivyo siwezi kubadirika ukubwani.

Kuna sheria ndogondogo Nyumbani kwangu Watoto wanashindwa kuzifuata lakini wakianza maisha yao watanikumbuka sana, wao ndio wanawasha taa za nje usiku lakini asubuhi Mimi ndio lazima, kuna sheria yangu nyingine chumba chochote kama hakuna mtu taa zizimwe, unapokwenda kuoga bafuni wakati wa kujipaka Sabuni na kujisuguwa funga shower kwanza ukimaliza hayo ndio ufunguwe shower, najaribu kuwaeleza kwa lugha rahisi wakiweza kuyafanya hayo watasaidia kunipunguzia gharama za bill kwa mwezi pesa itakayookolewa ni bora niwatowe out wao wakale Kuku, lakini hili somo limeshindikana, ila utakapofika muda wa wao kuanza kucover bill zao watashangaa niliwezaje kuwahudumia wao na kucover bill zote, muda ndio Mwalimu mzuri.
Safi mkuu
 
Wewe ni mkaidi na inavyoelekea huzipendi hizo kazi na hivyo huwa huzifanyi vizuri ndio maana unaambiwa rudia.Ukikua utawaelewa wazazi wako(mama).Si nawe utakuwa na watoto? Basi kua uyaone.Ila safari njema kuelekea ghetto.Hata huko kazi utazikuta tena ukiondoka asbh hujaosha chombo ukirudi utakuta kinakusubiri.Ukizingua kinaota hadi fungus.Usipotandika kitanda utakikuta jioni kinakusubiri.Usipofuta vumbi vioo milango na kudeki subiri wadudu,nzi na magonjwa yanayotokana na uchafu.Mafundisho ya mzazi ni konki,utake usitake utakutana nayo maishani.Ukishupaza fuvu,dunia inaingia kukufunza..halafu hapo sasa utajifunza kwa njia ngumu.
Acha tuone itavyokuwa
 
Vyombo sio kwamba sioshi mkuu!! Vyombo naosha sema maza bado atakufokea mara huoshi vyombo vizuri mara vyombo utavivunja unavibamiza kwa nguvu yaani maneno ni mengi
Unajuwa baba yako amevumilia mangapi kutokana na mdomo wa mama yako?

Jaribu kutembelea vituo vya Watoto yatima ndio utajuwa kwamba wewe ulibahatika kuwa na Wazazi.
 
Najua mkuu kuwa na wazazi tena wawili ni bahati lakini ni bahati mbaya wazazi wakiwa wanakufokea kwenye kitu ambacho unaona kabisa unaonewa
 
Mimi Nina familia mke na Watoto na Dada wa kazi lakini kuna siku nataka kupika mwenyewe niwatolee vitu adimu vya kibaharia.

Maisha yangu yote nikimaliza kula natowa vyombo vyangu na naviosha mwenyewe muda huohuo, hii tabia nimejifunza kwa mama yangu ilikuwa ni sheria ukimaliza kula osha vyombo vyako, nimezoea hii tabia mpaka kuna siku tulisafiri kwa wakwe zangu wakashangaa nimemaliza kula nimetowa vyombo mwenyewe na nimeshaviosha walishangaa nikawaambia wazi Mimi tumelelewa hivyo siwezi kubadirika ukubwani.

Kuna sheria ndogondogo Nyumbani kwangu Watoto wanashindwa kuzifuata lakini wakianza maisha yao watanikumbuka sana, wao ndio wanawasha taa za nje usiku lakini asubuhi Mimi ndio nazima, kuna sheria yangu nyingine chumba chochote kama hakuna mtu taa zizimwe, unapokwenda kuoga bafuni wakati wa kujipaka Sabuni na kujisuguwa funga shower kwanza ukimaliza hayo ndio ufunguwe shower, najaribu kuwaeleza kwa lugha rahisi wakiweza kuyafanya hayo watasaidia kunipunguzia gharama za bill kwa mwezi pesa itakayookolewa ni bora niwatowe out wao wakale Kuku, lakini hili somo limeshindikana, ila utakapofika muda wa wao kuanza kucover bill zao watashangaa niliwezaje kuwahudumia wao na kucover bill zote, muda ndio Mwalimu mzuri.
Malezi mazuri toka utotoni yanasaidia sana kupambana na changamoto ukubwani.
 
Back
Top Bottom