Naona wazee wa kudandia treni wameachia ya Corona sasa wamedandia ya sukari!

Tafuna limao na pilipili!
 

i feel very sorry for you...unaonekana kichewani kumejaa tope tena siyo maji...siyo kila anayeikosoa serikali ni mpinzani wengine are just concerned citizen...corona wont kill only chadema member ...likewise sukari price the same...so rudi ukalale kwanza kabla pengine akili umeisahau usingizini.
 
Hiyo mihemko uliyokuja nayo tayari umejiweka wazi!
 

Wamedandia sukari na kufungwa mipaka

Wanajisahaulisha kuwa dunia nzima inajuta lockdown

Na hakuna importation za mizigo
 
Kwa hio ulitaka tukudandie wewe au?Inama basi nianze mimi Mbowe,Lema,Mnyika na makamanda wengine watafuata!nadhani utaridhishwa ipasavyo au sio????
 
Sukari iko wapi? Sijanywa Chai na watoto Siku 3. Madukani kwetu hakuna
Enzi ya Sokoine imerudi ilitokea baada Vita ya Uganda na Tanzania
 
Wamedandia sukari na kufungwa mipaka

Wanajisahaulisha kuwa dunia nzima inajuta lockdown

Na hakuna importation za mizigo

..kazi ya upinzani ni kuichagiza serikali itatue kero za wananchi.

..Na hizo kero huwa haziishi. Hii covid19 ikipita litakuja jambo lingine linalotakiwa kufanyiwa kazi kwa dharura, au bila dharura.

..sasa walioko madarakani hawapaswi kulalamika kuwa wanakerwa. Yeyote anayeomba dhamana ya kuongoza na akapewa hatakiwi kunung'unika anapoombwa kutatua shida za wananchi.
 

Lakini wapinzani walivyotaka lockdown walijua sukari itapatikana wapi?

Dunia si imefungwa mkuu? Sukari tunaagizia wapi??

Lockdown hali si ingekuwa mbaya, hilo trailer tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…