kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #61
Mtamuamini nani zaidi ya Mbowe!Kwani Mbowe akiifuata ndio lazima wote tuwe tunaiamini hiyo dawa kama ya kikombe cha babu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtamuamini nani zaidi ya Mbowe!Kwani Mbowe akiifuata ndio lazima wote tuwe tunaiamini hiyo dawa kama ya kikombe cha babu?
Tafuna limao na pilipili!Wewe ni mpuuzi . Unataka hata watu wakifa wasiseme'!, wasipopandIshiwa mishahara wasiseme tena hata kwa mujibu wa sheria!, wakijua kuwa makonda hana vyeti wasiseme, wakiibiwa kura wasiseme? Na sasa CORONA 19 Wasiseme?
Huyo field MARSHAL unayejitapa nae ndiye anayeleta maamuzi ya Kipuu...z mpaka sukari inaadimika. FIELD MARSHAL ANAKWENDA JUJIFICHA VICHAKANI VITA IKIWA INAENDELEA? ULIZA OKELO ALIKUWA WAPI WAKATI WA MAPINDUZI YA UNGUJA NDO UTAJUA MAANA YA FIELD MARSHAL.
MTU ANATEMBEA NA MAUZIO YA CHUMA HATA AKIENDA MALIWATO UNAMWITA FIELD MARSHAL?
Japo tunaju uwezo wako wa akili lakini kuwa kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kinachoendelea natumaini Jemedari Mkuu, Field Marshal atatoa kauli kuhusu huu uhuni wa sukari kama kipindi kile miezi sita ya mwanzo wakati anaingia madarakani. Hii si bure wapo wachochezi walio nyuma ya wafanyabiashara.
Naona wazee wa kudandia sasa ndio imekuwa kwao ni habari ya mjini na mada kuu. Tuwakumbushe wazee wa kudandia, CCM ni chama dume na kubwa na kikongwe hakitingishwi na hujuma wala wahuni
Kimepita kwenye mawimbi mazito na mikondo mikubwa yenye dhoruba kali, mabaharia waoga walijaribu kujitosa baharini na kukimbilia visiwa vya wagagagigikoko baada ya kuona huko hakufai waliomba tena kusaini kwenye meli yenye manahodha wenye uzoefu mkubwa.
Tuwakumbushe ndugu zetu mnadandia sana na kusahau kujitayarisha hii ni May, kumebaki miezi mitatu na nusu au ndio habari ile ile kama Serikali za mitaa ya visingizio?
Lakini nina hakika CHADEMA bila ruzuku haiwezi simama, hakuna wa kutoa pesa yake mfukoni kuchangia chama watashiriki tu ili washindwe wapate cha kusema. Kama ni wabunge hakuna hata mmoja atakayerudi bungeni maana wananchi wamewachoka na vitimbwi vyao!
Hiyo mihemko uliyokuja nayo tayari umejiweka wazi!i feel very sorry for you...unaonekana kichewani kumejaa tope tena siyo maji...siyo kila anayeikosoa serikali ni mpinzani wengine are just concerned citizen...corona wont kill only chadema member ...likewise sukari price the same...so rudi ukalale kwanza kabla pengine akili umeisahau usingizini.
Hiyo mihemko uliyokuja nayo tayari umejiweka wazi!
[/QUOTE
Mataga unaongea nonesenseMbowe anaifanyia majaribio kabla ya kuwaruhusu ufipa muitumie!
Hiki kinachoendelea natumaini Jemedari Mkuu, Field Marshal atatoa kauli kuhusu huu uhuni wa sukari kama kipindi kile miezi sita ya mwanzo wakati anaingia madarakani. Hii si bure wapo wachochezi walio nyuma ya wafanyabiashara.
Naona wazee wa kudandia sasa ndio imekuwa kwao ni habari ya mjini na mada kuu. Tuwakumbushe wazee wa kudandia, CCM ni chama dume na kubwa na kikongwe hakitingishwi na hujuma wala wahuni
Kimepita kwenye mawimbi mazito na mikondo mikubwa yenye dhoruba kali, mabaharia waoga walijaribu kujitosa baharini na kukimbilia visiwa vya wagagagigikoko baada ya kuona huko hakufai waliomba tena kusaini kwenye meli yenye manahodha wenye uzoefu mkubwa.
Tuwakumbushe ndugu zetu mnadandia sana na kusahau kujitayarisha hii ni May, kumebaki miezi mitatu na nusu au ndio habari ile ile kama Serikali za mitaa ya visingizio?
Lakini nina hakika CHADEMA bila ruzuku haiwezi simama, hakuna wa kutoa pesa yake mfukoni kuchangia chama watashiriki tu ili washindwe wapate cha kusema. Kama ni wabunge hakuna hata mmoja atakayerudi bungeni maana wananchi wamewachoka na vitimbwi vyao!
"Those who stand for nothing fall for everthing".Wapinzani hawana wanachokisimamia,wanadandia treni tu toka 2015.October si mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kumeshakuchwa tena!
Wao ni watu wa maigizo!Wamedandia sukari na kufungwa mipaka
Wanajisahaulisha kuwa dunia nzima inajuta lockdown
Na hakuna importation za mizigo
Naona wafuasi mmegoma kukaa karantini!Mataga unaongea nonesense
Sukari iko wapi? Sijanywa Chai na watoto Siku 3. Madukani kwetu hakunaHiki kinachoendelea natumaini Jemedari Mkuu, Field Marshal atatoa kauli kuhusu huu uhuni wa sukari kama kipindi kile miezi sita ya mwanzo wakati anaingia madarakani. Hii si bure wapo wachochezi walio nyuma ya wafanyabiashara.
Naona wazee wa kudandia sasa ndio imekuwa kwao ni habari ya mjini na mada kuu. Tuwakumbushe wazee wa kudandia, CCM ni chama dume na kubwa na kikongwe hakitingishwi na hujuma wala wahuni
Kimepita kwenye mawimbi mazito na mikondo mikubwa yenye dhoruba kali, mabaharia waoga walijaribu kujitosa baharini na kukimbilia visiwa vya wagagagigikoko baada ya kuona huko hakufai waliomba tena kusaini kwenye meli yenye manahodha wenye uzoefu mkubwa.
Tuwakumbushe ndugu zetu mnadandia sana na kusahau kujitayarisha hii ni May, kumebaki miezi mitatu na nusu au ndio habari ile ile kama Serikali za mitaa ya visingizio?
Lakini nina hakika CHADEMA bila ruzuku haiwezi simama, hakuna wa kutoa pesa yake mfukoni kuchangia chama watashiriki tu ili washindwe wapate cha kusema. Kama ni wabunge hakuna hata mmoja atakayerudi bungeni maana wananchi wamewachoka na vitimbwi vyao!
Mimi hata sioni tofauti.Labda ya ufipa kila uchao mabaharia wanatangaza kustaafu na kuhamia meli za jirani!
Wamedandia sukari na kufungwa mipaka
Wanajisahaulisha kuwa dunia nzima inajuta lockdown
Na hakuna importation za mizigo
..kazi ya upinzani ni kuichagiza serikali itatue kero za wananchi.
..Na hizo kero huwa haziishi. Hii covid19 ikipita litakuja jambo lingine linalotakiwa kufanyiwa kazi kwa dharura, au bila dharura.
..sasa walioko madarakani hawapaswi kulalamika kuwa wanakerwa. Yeyote anayeomba dhamana ya kuongoza na akapewa hatakiwi kunung'unika anapoombwa kutatua shida za wananchi.