Naona wazi kabisa kitaumana. Najiona kabisa nimesha fade up

Kikao kiki kaa kila mmoja akatoa la moyon,, na akakubal YAISHE//msamaha ukatolewa bas msamehe maisha YAENDELEE hakuna WAUKWELI ni neema ya mungu mama wa kambo ni mama wa kambo TUNA WATOTO MKUU,,,
 
Unakaaje na Mwanamke wa hivyo? Tuachane Tuachane Tuachane ni wimbo wa Zuchu kaoa Zuchu ndani?
Unajuaje kama mleta Uzi ndio Malaya na anatafuta huruma za watu umeshasikia upande wa pili au unahukumu tu sababu huyu kajieleza nyumba zina Siri kubwa huyu mke wake naye akipewa nafasi ajieleze hapa ndio tunaweza kujua shida Iko Kwa nani zaidi ya hapo sijaona shida hapa wavumiliane watoto wote hao nani atawalea on behalf
 
Naona kwenye kundi la Nice guy upo mkuu.

Jitahidi uwe katika kundi letu.Nje ni nice man ndani ni bad Man hii itakusaidia Sana.
 
Shalom mtumishi

Hongera kwa maamuzi magumu


Wanawake huwa ni wapuuzi sana wewe ni kama mimi wanawake huwa wanatuchukulia wanaume wapole kama watu dhaifu sana

No turning back shikilia hapo hapo

Lea wanao hilo nikushauri sana

Na usiingie kwenye mahusiano mapya mzee

Kama unaweza piga nyeto tafta sabuni piga nyeto kwa sasa hata ukizidiwa vipi usitafte mwanamke ( kuna siku utanielewa)

Kunywa maji fanya kazi zako hio story usiwasimulie sana watu

Iache tu wakikuuliza sema ndivyo ilivyo ishia hapo

Ila lea wanao... Utapata mwanamke baadae sana na usimpe kabisa story za mwanamke aliyepita ila mwambie tu nlifanya maamuzi magumu mpe kwa ufupi atajua sasa upoje
 
Tuliza moyo ndugu.Kuachana uzeeni kuna athari zake.Mtulize mama watoto myatulize.
Mke hataki kuendelea na jamaa,huoni mwisho wa siku mke anaweza kumuua hata kwa njia ya sumu inayoua taratibu?
Kwanini aendelee kumpa adhabu mkewe kwa kufosi kuoshi nae?
Maamuzi ya mke yaheshimiwe kuepusha madhara makubwa ambayo yanaweza kumkuta MUME.
Tambua mke atakua anamshirikisha hata ex wake au mtu mwingine wa jirani kabisa,kwa namna asivyotaka kuendelea kuishi na huyo jamaa na wao wanampa ushauri namna ya kudili nae,hujui wanamshauri nini.
 
Baba yako aheshimiwe lakini atambue na wewe ni baba sasa. Utawala wake unaishia nyumbani mwake na mkewe na wanao ishi ndani kwao.
Kwako anabaki mshauri tu. Ushauri siyo lazima upokelewe.

Atambue wewe ndiye atakae pata madhara ya kiafya n.k.
Atambue ni wewe ndiye unae dharaulika.
Ni wewe unaye pata maumivu rohoni.
Atambue dunia imebadilika haipo kama nyakati zao za ujana wao na mkewe.
 
Duuh,hamjamfungulia kesi?
 
100% sahihi
 
Juzi nimeshuhudia watu wakiwa kwenye kesi ya kuachana, yaan ni huzuni sana, watoto wanamtaka mama Yao, baba anataka kukaa nao, Mara Mali zote ziuzwe kila mtu aanze upya, ikawa ni vilio, wote tulioshuhudia tukasema bora kusuluhisha na kuvumilia kuliko mateso yajayo
 
Mbona mimi Hilo neno la tuachane nalisema sana na sina lolote uko nje ni yeye tu, mtuelewe tu wanawake
 
Special code

Kama unaishi na mkeo na wote mmeingia 30's ujue hapo looser ni wewe..
Maanake hapo wote hapo mnaingia 40 kwa pamoja.
Sasa iko hivi anaepata hasara hapo ni wewe mwanaume so ukiona mkeo ana above 30 na ameanza kukuletea kelele za kuachana fanya kweli yaani ile kweli kabisa haijalishi alitania au alikuwa serious..
Achana nae kwa muda kwanza hata miezi sita hata miaka miwili ikiwezekana but endelea kutunza watoto kama uwezo upo ila kama haupo sio dhambi maana ulimaliza senti zako kwaajili yao na mama yao..
Move on kajitafute kwanza maana baadae kuna asilimia 80 au 70 za wao kurudi kwenye himaya yako tena..
So akiondoka wewe rudi kwenye 20-25 Oa kwenye hiyo age ili huyo akija kufika kwenye 40's ambayo ni mwisho wake wewe uwe unaitafuta 60 hapo utakuwa uneenda sawa..
Yule wa mwanzo atarudi tu na kukuta tayari alishatoa gepu la mke mdogo kitendo ambacho inabidi tu akubaliane nacho maana hana choice tena..
So ataendelea kujilaumu tu kuwa pengine asingekupa gepu yule asingapata nafasi ya kuja.
Ishini humo wanaume wenzangu maana mimi nikiona mwanamke amefika 30's then anaruka ruka najua huyo anajitafutia msaidizi ambae hakupaswa kuja..
Nakaribisha maswali..
 
Upo sahihi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…