Naona wazi kabisa kitaumana. Najiona kabisa nimesha fade up

Umefeli sana kaka mkubwa.. Tuanze na hapo kuwatumia Dada zake screen shot yani hyo ni dhairi inaonyesha ww ni dhaifu ndio maana umetaka approval kwa Dada zake na kuwasibitishia kuwa ww huna makosa bali ni ndugu yao..kama umeona ana ku disrespect kupitiliza Unarudisha tu kwao ataenda kujieleza mwenyewe.
Kungine
 
Hapo kwenye kupiga nyeto, ni ushauri wa kipumbavu sana ,acha ufala
 
Yaani malaya aendelee kuhifadhiwa ndani na kulishwa ili awe free sasa kufanya umalaya wake kama bwai bwai mzee kuna maisha hata maada ya kuacha mbona sisi wengine tuliweza move on...!
Kama kamuhifadhi kwa miaka 15, anashindwa nini kuendelea kumuhifadhi? kama ni magonjwa wote wanayo, sasa anataka amuachie nani?
 
I guess you will live forever man.
 
Ndoa zenye kudumu huonyesha mwanzo wakati munaanza maisha, ukianza kuona red flag mapema chukua hatua mapema, vyenginevyo utakuwa unapoteza muda wako bure tu, mahusiano hayalazimishwi hata Kama lengo ni kila mtu kutimiza shida zake usiharibu kufosi utajutia. Pole sana kaka
 
NI kwel. Shukran sana
 
kesi yetu ime base zaid huku. Japo sijawah mkamata red handed, ila nina vithibisho kadha wa kadha katika history toka 2012 mpaka sasa ambapo nimeamua kuvitafutia proof ukiachana na message ambazo nilizikamata those days way back
Anza na DNA za watoto, matokeo yanaweza kumaliza kesi kirahisi sana😂😂😩
 
Kama ndo hivyo hata hio mitoto Wenda sio wako
Ahahahah..kwa watoto am sure ni wangu.
Mwanagu wa 3 wa kiume pekee ndio nilimpatia mashaka, alizaliwa mweupeeee wakat mimi na yf wote weusi.
Ile kitu ikanitesa sana. Niliongea na mama kuhusu hilo akasema acha tu akue, alipokuja kumuona akasema huyo ni mwanao. Maza alikuja mpaka na picha zangu za utotoni sana.
Na dogo kadir siku zilibyokua zinakata na weupe ukawa unaondoka.
Huyu ndio alinitimgisha na hata wife alijua kabisa na nikawaga namueleza huyu mtoto vipi? Mbona sikuelewi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…