Naona wazi kabisa kitaumana. Najiona kabisa nimesha fade up

Mambo mengine siomasikhara wana maanisha. Kaka yangu na jirani yangu wa upareni tumemzika mwezi wa sita kwa ajili ya kuupuuza haya mambo.
Kila wakati wakigombana na mkewe anamwambia kama vipi tuachane kila mtu achukue chake. Mke kamuakea sumu kwenye chakula jamaa bila kujua. Kula chakula baada ya muda kidogo puvu linamtoka na anatapatapa. Ndugu zake yalivyokuwa wanampeleka hospital neno la mwisho ni mke wangu kaniua.
 
Pole kwa changamoto hiyo Mtaalam, japo hujaweka wazi sababu ya kufanya hivyo kwa upande wako. Kwa uzoefu wangu, Shemeji kukwambia hivyo, inategemea na Mazingira. Sitegemei umkute na kosa, halafu yeye ndiye a-initiate kukuacha. Kwangu Mimi, kosa la kusababisha kumuacha Mke ni KUTEMBEA NJE YA NDOA. Mengine nje ya hapo, hapana, unless otherwise. Ukiwa unajiandaa kwenda madhabahuni, pls tembea na hii katika maisha yako yote, itakusaidia;

"Mtu kujitenga na ugomvi ni heshima kwake; Bali kila mpumbavu ataka kugombana"
Mithali 20:3

Uwe na asubuhi njema
 
Mtu ameishi na mwenzie for 15yrs. He knows what he is doing. Na amekwanbia ameshasamehe mambo mengi sana.

Hii yote ni kibri cha mwanamke mwenye Pesa.
.yaani Pesa kwa Mwanamke ndani ya Ndoa bora tu azikose.
She believes ataishi vizuri tu bila Baba watoto. Na Atakuwa huru zaidi kuchakazwa nyapu na vijana sio Baba watoto aliyechoka kwa majukum
 
Shukrani. Ni kwel kabisaa.
Sasa imagine mwanamke analeta hiz mbanga she is 36 years old with 4 kids.
Anyway sisemi kwamba hana soko, i dont mean that. Nawaza kwann asingefanya mapema???
Bado analipa sana huyo na kama ana mpunga she is going to be Mshangazi apigwe miti na mboo za vijana.
That is all what she is expecting.
 
NAONDOKA KAMA NIMETEKWA NAACHA KILA KITU SITAKI MSONGO WA MAWAZO MAISHA YENYEWE MAFUPI HAYA🤣🤣🤣🤣🤣
Suala la kukutafuta tutawaachia wana Chadema 🤣🤣🤣🤣
 
Lakuvunda halina ubano kaka yakitimia acha yatimie mliyovuna yanatosha
 
Ni kupiga redcard tu, mwanamke akishakutamkia nipe talaka yangu unaweka talaka 3 na 1 juu ya nyongeza.

Mwanamke hatakiwi kukuelewa, kuna muda unamuonesha upendo na kumjali utafikiri ndio kakubalia leo kukupa tunda kwa mara ya kwanza, pia kuna muda akikuvuruga we unamvuruga ma 10 yaKe.
 
Baada ya kikao utujulishe
 
Ndoa inapokuwa ina misuko suko, hata ufanisi wa kazi Kwa Mwanaume hushuka kabisa.

Bila kusahau kuibuka Kwa tabia ambazo hujawahi kufikiria kuzifanya ikiwemo Ulevi na Uzinzi, ukiamini Kwa kufanya hayo utakuwa unapunguza/ondoa stress

Ushauri wangu, omba ruhusa Kazini kisha muende mkayenje na mwenzio huko Kijijini Kwa Wazee wenu iwapo ninyi wenyewe mmeshindwa kuyamaliza peke yenu.

Kwa uzoefu wangu, Wanawake hawapo tayari kuyavunja mahusiano mkishazaa pamoja zaidi ya watoto 3. Ninyi mmezaa wanne (4) labda itokee ulishamfumania zaidi ya mara mbili lakini hujawahi kumuuliza Wala kujaribu kuzungumza naye hivyo yeye anaishi Kwa hofu

Otherwise labda ni stori umeamua kuileta kutuinjoi humu
 
Hv wanaosema usamehe wanajua mabalaa unayopitia? Mwanamke anakutishia kuachana mara kadhaa kwahyo ukenue tu kama fala? Be a man inawezekana ana test mitambo na we mpole sana kama ulivojieleza ila no going back aachike aone shuruba ya kua singo maza.. apo hamna hamna arudi kwao kujifunza kwanza kwa muda usiojulikana yan mpaka uamue but only if she is worth it na hajagawa uroda.

Either way maji ushayavulia no going back usitetereke, uzinzi hausamehewi.
 
Ni kitu ambacho nimekua nikikiwaza kama ambavyo mwanaume yeyote angewaza...sasa sitaknkwenda deep maana inaonyesha unataka nikupe classified details 🤣🤣
Ila si unajua waswahil wanasema ukiona swala juu ya mti jua kapandishwa?
Sasa mkuu kama hachepuki tatizo ni nn weka wazi hiyo kusema muachane labda ni depression tu matatizo ya akili ni mengi siku hizi kuwa wazi shida ni nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…