Naona Wema siku hizi anazidi kutakata ule Utanzania sweetheart unamfiti vyema

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Naona madam Wema siku hizi anang'aa hatari maana kipindi cha hapo kati alikongoroka mpaka akawa anatisha, ila siku hizi naona MashaAllah hata vile vijembe vitapungua maana watu walizidi kumsema kwamba ameshazeeka.

Kwa muonekano alionao sasa hivi ajiandae kupokea dili kutoka kampuni mbalimbali.

Kila la heri kwake Tanzania Sweetheart.

 
Uzuri halisi wa mwanamke upo Rohoni mwake. Hauchuji wala hauchujuki[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…