Naona Wema siku hizi anazidi kutakata ule Utanzania sweetheart unamfiti vyema

Unatumia gharama nyingi za make up na mavazi kibao ILi uendelee kuonekana kijana. So what??

Huo mwili anauhangaika kuupamba na kuutunza hajui Kuwa kuna funza huko kaburini wanamsubiri siku akifa aozee aliwe na funza.
Kwahiyo unashauri ajiachie tu katika uzee kwa kuwazingatia funza huko kaburini? Ni sawa na wale wanaowasema ovyo matajiri kwa kumiliki fedha, majumba na magari wakiwatisha kuwa vyote wataviacha na kuishia kaburini kuliwa na funza.

Ni wivu tu.

Life is too short, and we live once in a lifetime. Acheni watu wafurahie kadri wawezavyo wanapopata nafasi na uwezo wa kufanya hivyo.

Ukimsema Wema kutumia makeups kuzuia uzee halafu wewe ukawa unatumia hata mafuta ya mgando ya 500, au hata ya kupikia (mafuta yanatumika kwa lengo la kuilainisha ngozi isiwe kama ya mamba), bado ni sawa na msemo wa "nyani haoni kundule".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona madam Wema siku hizi anang'aa hatari maana kipindi cha hapo kati alikongoroka mpaka akawa anatisha, ila siku hizi naona MashaAllah hata vile vijembe vitapungua maana watu walizidi kumsema kwamba ameshazeeka.

Kwa muonekano alionao sasa hivi ajiandae kupokea dili kutoka kampuni mbalimbali.

Kila la heri kwake Tanzania Sweetheart.

View attachment 2814888View attachment 2814892View attachment 2814895View attachment 2814898
Kuna dili la utangazaji redio mpya kipindi Cha maswala ya vijana, haijaanza hiyo redio ya huko dar.
 
Unatumia gharama nyingi za make up na mavazi kibao ILi uendelee kuonekana kijana. So what??

Huo mwili anauhangaika kuupamba na kuutunza hajui Kuwa kuna funza huko kaburini wanamsubiri siku akifa aozee aliwe na funza.
Kwahiyo mwanamke unataka afanyaje?

Chuki za kijinga hizi, wewe buruza mkeo Tu na msuko wa Tatu kichwa au twende kilioni.
 
Naona madam Wema siku hizi anang'aa hatari maana kipindi cha hapo kati alikongoroka mpaka akawa anatisha, ila siku hizi naona MashaAllah hata vile vijembe vitapungua maana watu walizidi kumsema kwamba ameshazeeka.

Kwa muonekano alionao sasa hivi ajiandae kupokea dili kutoka kampuni mbalimbali.

Kila la heri kwake Tanzania Sweetheart.

View attachment 2814888View attachment 2814892View attachment 2814895View attachment 2814898
Mambo yenu hayo wanawake. Sisi wanaume ni ngumu kufuatilia maisha ya mtu . Tunafuatilia michongo tu.
 
Unatumia gharama nyingi za make up na mavazi kibao ILi uendelee kuonekana kijana. So what??

Huo mwili anauhangaika kuupamba na kuutunza hajui Kuwa kuna funza huko kaburini wanamsubiri siku akifa aozee aliwe na funza.
UJinga
 
Vp pambano la vergil ortiz na terence Crawford linaweza tokea???
Naona hilo litakuwa pambano kali sana au mdau unasemaje

Ova
 
Gari limetemembea km lak 2 , lazima ufanye major ovehaul
 
Back
Top Bottom