Naoni yangu: Orodha ya wanasiasa bora wa muda wote nchini


Kwa mtazamo wangu JK Nyerere was never just a politician bali alikuwa ni mwanafalsafa, visionary, kiongozi, mwanaharakati na mengine mengi tu...

Ni mkubwa sana kumuweka kwenye hii list...
 
Yaani yeriko na bananga wamo halafu magufuli hayumo,sawa kuwa ni maoni yako.
 
Du hii risiti yaani Mtikila hayumo John Cheyo hayumo,Basili pesambili Mramba pia hayumo??
 
Unawezaje kumuacha Lyatonga Mrema na James Mbatia
 
Uzi wa mwepesi kuliko zote tangu mwaka uanze
 
Sijui unachotafuta nini hapo🤣😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…