Mwanzo alikua anafatiliwa na wachawi nikawa namuokoa na kuna siku mbaba mmoja ni ndugu alikua mwanga akawa anasema mdogo wako yule ana macho angekua wa kiume angekua chief yaani nirivurugwa
Hahahaha nakuamini ila kunambia majini huyaogopi /ujakutana na majini (ujue kuna vijini vinayaogopa hadi majini)Niamin mimi sio utani nimepitia mengi nayajua
Sio rahis hawana mlango WA kuingilia.Hivi unaamini hata majiran wanaweza kumfunza mwanao uchawi?
Yaani,nilichoka[emoji1787],[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka kama mwehuuu
Kanaropoka ropoka?? Maana wanakuwaga wanajiamini hao,hawamuogopi mtuYaani mkikosana mchana ucku unamuota anakukaba na ukimuuliza mkavu yaani simple tu anakujibu hajui
EtI nn asali rozali Kisha kapigwe chale na Babu duuuh Kazi IPO aiseeNjia za kupambana ni mbili tu.
1. Sali sana, sali rozali, tafuta maji ya baraka yatumie
2. Nenda kwa Babu ukachanje akija kukukaba anakuona ila hawezi kukufikia.
Utakuta mmama ana miaka hamsin kamkuta bombani anamwambia mwanangu naomba nikinge ndoo moja tu kwanza niondoke jibu hilo atakalopewa kamaa yeye tembo huyo mama swara yaani balaaaKanaropoka ropoka?? Maana wanakuwaga wanajiamini hao,hawamuogopi mtu
Jini mwenyewe ndio namaanisha sio hawa binadam wenye majini tena chanzo chake alinipigia simu kilicho fuata ucku [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]siku ya pili siku ya tatu mwendo ule ule mpaka chumba nilikiina kichugu uzur najiamini na namwamini mungu nikasema hapa sishirikishi binadamu mpaka mungu aamue mbona jini alikimbia mwenyeweHahahaha nakuamini ila kunambia majini huyaogopi /ujakutana na majini (ujue kuna vijini vinayaogopa hadi majini)
Sasa kutana na majini asilia acha haya yanajiita mara maimuna(ukutane na maimuna mwenyewe utasanda)
Huo umri wako ushawahi fanya ilo jamboKitendo ambacho mtu ambaye anashiriki tendo na mtu ambaye sio mkewe au mumewe
Utakua unamuoea wivu tuMsaada jamanI
Nina mdogo wangu wa kike ana miaka 18 mwanzo nilikua naota wachawi wanakuja kumuiba nyumban nikawa nikawa namuokoa na kuna siku nilikua nimeenda nyumbani na tulilala wote usiku nikaota ananikaba tulipambana kweli na asubuhi yake nikamwambia kuna mtu kanikaba usiku akaniuliza umemtambua nikamjibu hapana akanyamaza tu na sasa hivi ana jeuri matusi haangaliagi wa kumtukana.
Je, anaweza kuwa mchawi kweli au vipi na sio mimi tu ninaye muota hata ndugu zangu wengine pia yaani mkigombana mchana tu usiku unalo na juzi nimemuuliza kakataa kasema hajui chochote.
Ni flailing za umaskini uliokubuhuThreads za uchawi zimepamba moto aisee.... hivi kuna tofauti kati ya uchawi na ushirikina?
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Huyo jini wa bongo moviesJini mwenyewe ndio namaanisha sio hawa binadam wenye majini tena chanzo chake alinipigia simu kilicho fuata ucku [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]siku ya pili siku ya tatu mwendo ule ule mpaka chumba nilikiina kichugu uzur najiamini na namwamini mungu nikasema hapa sishirikishi binadamu mpaka mungu aamue mbona jini alikimbia mwenyewe