Naota mdogo wangu ananikaba usiku. Je, anaweza kuwa mchawi?

Kuna mtu anakuletea Taswira ya mdogo wako ili awagombanishe,, sio kila ndoto niyakuiamini budda
Ni sawa ila swali linakuja kwani wachawi wako dunia ipi na wanapatikana familia zipi?
 
acha ulokole njaa huo na hao wachungaji wanaosema wamepambana na wachawi na wenyewe wanawmaisha ya dhambi au vipi..hizi dini ukiziendekeza zinakuharibu physiology kabisa..
 
Uwezo wako wa kufikir ndipo ulipo ishia usiyo yaona wewe haimaanishi hayapo mimi na wewe tumeumbwa upeo tofauti hata sikulaum
 
Badili ratiba ya kula, Acha wivu na punguza ushirikina
 
Ushirikina umezoea wewe na wivu umezoea wewe me sio mtu wa kufata mambo ya watu ila yakiwa yananihusu basi nitajihusisha kwa sehem yangu harafu nishagundua wewe kipofu usiye jua lolote unajosemesha tu
 
acha ulokole njaa huo na hao wachungaji wanaosema wamepambana na wachawi na wenyewe wanawmaisha ya dhambi au vipi..hizi dini ukiziendekeza zinakuharibu physiology kabisa..
Yes mimi siendekezi dini ninacho kiamini ni mungu pekee sijuagi kuamini wachungaji na never happen
 
Kumbe majibu unayo, sasa unataka nini juu ya jambo hilo???
 
Ushirikina umezoea wewe na wivu umezoea wewe me sio mtu wa kufata mambo ya watu ila yakiwa yananihusu basi nitajihusisha kwa sehem yangu harafu nishagundua wewe kipofu usiye jua lolote unajosemesha tu
Then soma title ya hii thread

Ni hivi… wewe una wivu, mshirikina na humpendi ndugu yako

In short hii thread imekuanika

Acha uchawi Dogo… there is more to life that hating your siblings
 
Ni muone wivu kwa lipi kwa mfano ?hata kama ndio ningekua na wivu maana mimi na yeye tuna tofauti kubwa sana na nampenda ndugu yangu kuliko unavyo dhani yaani nampenda kuliko hata mama yangu mzazi huwezi amini embu kama huna la kuongea tulia
 
Ni Mungu sio mungu
 
Then soma title ya hii thread

Ni hivi… wewe una wivu, mshirikina na humpendi ndugu yako

In short hii thread imekuanika

Acha uchawi Dogo… there is more to life that hating your siblings
Mbona kama unatetea chama nawe umo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…