Naota mdogo wangu ananikaba usiku. Je, anaweza kuwa mchawi?

Sasa katika thread yako kuna facts kadhaa umeziweka wazi:
1.Umesema kila mkigombana na huyo mdogo wako , Usiku unalo! Hii maake imeshatokea tena na tena ndo mana umeiamii!
2.Umesema ndoto zako wewe uazoota huwa ni za kweli na umetolea mfao wa ndugu yeu aliyefariki mwaka jana!
Basi mpaka hapo ni ndugu yako huyo ndiye anakukaba usiku, Sana kama wewe i mtu imanni, itumie imai yako imfannye ashidwe na alegee!
Kabla ya kulala usiku oga maji ya chumvi, mwaga chumvi kuzunguka kitanda chako, fanya sala na uome ulinzi wa Mungu!
 
Ni muone wivu kwa lipi kwa mfano ?hata kama ndio ningekua na wivu maana mimi na yeye tuna tofauti kubwa sana na nampenda ndugu yangu kuliko unavyo dhani yaani nampenda kuliko hata mama yangu mzazi huwezi amini embu kama huna la kuongea tulia
Then why umhisi uchawi?
 
Mchawi ni mtu mwenyewe vitendea kazi mwenyewe mshirikina ni yule anamshirikisha mganga akuroge
Wow, thank u. Kuna familia mbili hapa mtaani kwetu wanasema.ni wachawi. Na kiukweli ukiangalia maisha yao Mungu awasamehe[emoji23][emoji23][emoji119] kiukweli uchawi na umasikini ni kitu kimoja. Nipate hela nyingi ninunue nyumba ya mmona wapo aondoke abaki mmoja tujikusanye[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mshana Jr
 
Niseme ushirikina na umasikini ni kitu kimoja ila uchawi familia kibao tajir masikin labda uzungun tu
 
Kwenye chumvi hapo [emoji849]mmmmh
 
Niseme ushirikina na umasikini ni kitu kimoja ila uchawi familia kibao tajir masikin labda uzungun tu
Aisee... sema huyu mmama wanasema ni mchawi hapa mtaani kuna story za uomgo ananitungia nimechoka. Yaan mbali na kwamba wachawi wameninyooshaga ila sijisikii kuwaogopa sijuu kwanini[emoji23][emoji23] huyu msambaa huyu ngoja tu. Na mwanae ndo anauzaga bangi na demu wake. Kichwani sijui anavaaga ushanga wa ajabu kweli huyi kijana na ni kibaka. Toka ameanza ukibaka hajawahi kamatwa na akikanatwa anatoroka. Wanasema sijui ana hirizi. **** siki nitamletea pira kijana wake halaf niendelee naye. Yaan sijuu kwann simwogopi[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
acha ulokole njaa huo na hao wachungaji wanaosema wamepambana na wachawi na wenyewe wanawmaisha ya dhambi au vipi..hizi dini ukiziendekeza zinakuharibu physiology kabisa..
Nyamaza tu Kiongozi, maana kama hayakukuta huwezi ijua NGUVU YA MUNGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…