Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ungekuwa ushirikina wala nisingeandika hapa ningekuelekeza pakwendaMmmh ila huu si ushirikiana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekuwa ushirikina wala nisingeandika hapa ningekuelekeza pakwendaMmmh ila huu si ushirikiana?
Nakaziaaa .ili tuone kama ana sura ya kichawi ama laa![emoji23][emoji23]Weka picha yake
Ila kwa maswali ya dogo, kwamba ulimfahamu na ndugu kuwa wanamwona akiwafanyia mambwanga kuna uwezekano dogo kasha ingia chamaniNdio niko dilemma hapo sasa
Upande wa mzaa baba wote marehem walikufa muaka ya 80 huko sijajua upande wa mamaIla Uchawi hautoki mbali
Itakua familia yenu kuna namna fulan
Huenda mama yako au bibi kizaa mama, au Bibi Kizaa Baba
Kwa ufupi ,Wanawake ndio wanoongoza kua na uchawi.
Mtu asiseme kwann nataja, Bibi bibi.
Bibi yako ashamrithisha MIKOBA huyo mdogo Wako. Ndo anaanza jiramba Sasa ameamua kujifunzia kwako[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]Msaada jamanI
Nina mdogo wangu wa kike ana miaka 18 mwanzo nilikua naota wachawi wanakuja kumuiba nyumban nikawa nikawa namuokoa na kuna siku nilikua nimeenda nyumbani na tulilala wote usiku nikaota ananikaba tulipambana kweli na asubuhi yake nikamwambia kuna mtu kanikaba usiku akaniuliza umemtambua nikamjibu hapana akanyamaza tu na sasa hivi ana jeuri matusi haangaliagi wa kumtukana.
Je, anaweza kuwa mchawi kweli au vipi na sio mimi tu ninaye muota hata ndugu zangu wengine pia yaani mkigombana mchana tu usiku unalo na juzi nimemuuliza kakataa kasema hajui chochote.
Haki ya nani mimi mchawi ndio simuogopi hata robo huyo jini mwenyewe tu siku tatu alikua naninifatilia sikumlia ugari mbili kavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bibi yako ashamrithisha MIKOBA huyo mdogo Wako. Ndo anaanza jiramba Sasa ameamua kujifunzia kwako[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Si vyema kusema haya ila ndo ukweliYaani mkikosana mchana ucku unamuota anakukaba na ukimuuliza mkavu yaani simple tu anakujibu hajui
Sio siri watoto wengi wachawi wako hivyo najua hili langu hivyo napatwa na kiweweDalili mojawapo ya mtoto mwanga ni jeuri [emoji2] Kuna wadogo zetu ukiwaa ngalia tu unajua hii jeuri sio ya kawaida.
Na watoto mapepe wako kwenye hatari sana ya kuingizwa huko.
Unawajua majini hahahah acha utani mdg wanguHaki ya nani mimi mchawi ndio simuogopi hata robo huyo jini mwenyewe tu siku tatu alikua naninifatilia sikumlia ugari mbili kavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanzo alikua anafatiliwa na wachawi nikawa namuokoa na kuna siku mbaba mmoja ni ndugu alikua mwanga akawa anasema mdogo wako yule ana macho angekua wa kiume angekua chief yaani nirivurugwaSi vyema kusema haya ila ndo ukweli
Huyo dogo ashakuwa mwanga na Tabia ya watoto hawawezi jikontroo maana anajua tayari ni fundi Basi usiku atalipiza kisasi
Maisha yako, kizazi chako tayari yako kwenye hatari kubwa ( watoto wanao kuwa wachawi tangu udogoni wanakomaa sana na wanasumbua hata kuwavua uchawi wao)
Huyo mtoto anaenda vuruga ukoo, uchawi kachukua kwa ndugu zako hasa upande wa mama/baba hasa wazee wa zamani (yawezekana bibi/Babu zako ni wanga na dogo kakabidhiwa mikoba mapema)
Kuna visichana kama viwili nmewahi kukaa navyo katika maongezi waliwahi kuropoka vitu halafu ukimshtukia na yeye anashtuka anazunga... kamoja katoto ka la1 tu, huyo mwingine kamaliza la7 wana tabia ambayo inafanana (Mapepe yaliyopitiliza)Sio siri watoto wengi wachawi wako hivyo najua hili langu hivyo napatwa na kiwewe