Kuna watu humu ndani ni wajuaji kwa sababu wanajua mimi ni mchaga kutoka Rombo hawachelewi kusema kuwa nimelewa nyagi au Kvant. Si kweli huwa nakunywa mbege mara moja moja situmii kilevi kingine. .
View attachment 2590865
Ok. WanakujaAcheni masikhara nishaurini hili jambo linanitesa sana. .
Mama watoto yuko uzaziIla Gily[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Una Mtoto Mchanga huo Usingizi hadi Unaota hivyo unaupate?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama watoto yuko uzazi
Au kwa sababu sijapata haki ya ndoa siku nyingi. Week hizi mbili naona wenge kichwan na hizi mvua naweza kata kamba [emoji51]
View attachment 2590869
Upwilu huo ππ πMama watoto yuko uzazi
Au kwa sababu sijapata haki ya ndoa siku nyingi. Week hizi mbili naona wenge kichwan na hizi mvua naweza kata kamba π¬
View attachment 2590869
Nitake radhi nalala nyumba safi sanaπKama unalala sehemu ya hivi lazima uote unataka kubakwa
On serious Note:
Angalia ventilation system ya unakolala yaani madirisha na kiwango cha Oxygen kinachoingia.
Angalia godoro unalotumia linaweza kua sababu. Acha kula Ngarerumo, Mseto na makande usiku
Pia uwe una omba kwa imani yako kabla ya kulala
View attachment 2590890