Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππ Hivyo ndo viatu vyako ww na mkeo sasa kwann usiote unavamiwa nikushauri toa hii picha πππππYou are describing my room. Kwanza viatu viko kwenye kabati ziko locked. Pia nimetengeneza cabinet ya viatu vya kutokea tu week husika. You can see for yourself. .
Naishi nyumba kubwa na mke wangu tu chumba hakina mkorokoroπ
View attachment 2590908
Pole Mkuu, always kumbuka kusali kabla ya kulala, sala ni kinga moja takatifu sana, ni ulinzi tosha.Wasalaam
Usiku wa kuamkia leo niliota nimevamiwa na majambazi, nikaamka kuangalia saa ni saa tisa na dakika nne usiku. Nikatoka sebuleni nikaona mtu ananifanyia ssssssssssssshhhh kuashiria nikae kimya nisitoe sauti cha ajabu ila huyu mtu anafanana na Steven Seagal (sura yake) ghafla ile sura ikabadilika ikawa yangu. Mtu Yule (ambae sasa ni kivuli changu) gizani aliniashiria nizime taa nijifiche nisionekane. Kweli nilizima taa nikajikita niko mwenyewe sebuleni nikachukua filimbi nikaipuliza majirani waje kunisaidia. Nikashtuka kutoka usingizini koo kavu sana limekauka nikanywa maji nikarudi kulala nikiwa na simanzi sana. .
Kwa nini nilipata simanzi?
Nimepata simanzi kwa sababu ndoto za aina hii nimeshaota mara nne au tano hivi. Tofauti na jana nilipata kufanya maamuzi, wakati mwingine nafadhaika kwa sababu naona kuna watu nje wanachungulia dirishani ila mwili unakuwa mzito kuamka. Naweza ota majambazi au kuna mchawi anachungulia dirishani ila sasa ili niamke kujihami mwili unakuwa mzito nashindwa kuamka kabisa kitandani (bado niko usingizini). Nikishtuka usingizini nakuwa nimetoka jasho sana. Kuna muda nikiwa ndotoni na sasa nimevamiwa na majambazi unakuta natamani kupiga kelele ila sauti haitoki kabisa. Naweza piga kelele kuomba msaada ila sauti haitotoka kabisa no matter how much I scream. This has gotten to me deeply and itβs affecting my sleep and sanity. Is there a meaning behind this or it is just a nightmare? fYCK
Nahitaji msaada wa ufafanuzi au ushauri I am terrified.
Umeomba msaada vizuri kutuliaMke wangu ameokoka yulo TAG. I am roman catholic. .
Huwa namweleza wokovu nimeupata pale Yesu alipojitoa kwa ajili yangu msalabani. Nifafanulie unaweza Okoka mara ngap?
Subiri kibabuuu akikua umpeNow you don't want iphone 12 anymore π
unaonaje nikikupa infinix hot 11π ina macho matatu
View attachment 2590910
π π π Sina uhakikaKwani hajapigwa ban?
matawi sana ngoja nikubali matokea Half american kashindaπSubiri kibabuuu akikua umpe
ahah hivyo viatu vyangu, mke wangu na msichana wa kazi. Yuko na mwanangu mkubwa kwa mama yangu mzaziπππππ Hivyo ndo viatu vyako ww na mkeo sasa kwann usiote unavamiwa nikushauri toa hii picha πππππ
Mama mkwe wangu kila akifika nyumbani cha kwanza ananambia "mwanangu sijawahi sikia sifa zako mbaya, wala sijawah sikia unakunyw pombe, wala kutanya uasherati π. Kwa nini unakuwa mgumu kuokuka kwa sababu vyote hivi hufanyi imebaki nini sasa kama sio kuokoka?"Umeomba msaada vizuri kutulia
Mkeo akupeleke huko TAG uonane na Mchungaji akueleze vizuri kuokoka ni nini
Mkeo sio Mchungaji utamuonea kutaka yeye ndio akupe maelezo
Narudia usiende kule kutaka uombewe matatizo yaishe ongelea hoja ya kuokoka
Yesu akiingia moyoni akafanya makao umedhamiria kumpokea hiyo shida yako itaisha
Nenda kaongee na huyo mchungaji wake wa Tanzania Assemblies of God kifupi TAG atakusaidia usiongee na yeyote zaidi ya huyo mchungaji agenda iwe moja nataka kuokoka nifanye nini nipate kuokoka ? Sio naomba mchungaji uniombee
Mark my words carefully ninayoongea
Angalia vizuri maneno naongea sijasema uende kuomba uombewe ongea naye kuhusu kuokoka
Pole kwa shida unapitia mimi.naongea na wewe sikujui ila naungana nao uokoke tafadhaliMama mkwe wangu kila akifika nyumbani cha kwanza ananambia "mwanangu sijawahi sikia sifa zako mbaya, wala sijawah sikia unakunyw pombe, wala kutanya uasherati π. Kwa nini unakuwa mgumu kuokuka kwa sababu vyote hivi hufanyi imebaki nini sasa kama sio kuokoka?"
Mungu ampe maisha marefu sana. KifupI hata juzi alinipigia simu maneno yake ni kuwa tuko vitani. Shetani hajawahi kulala. Mwanangu fanya mpango uokoke na ukiri Yesu kristo ni mwokozo wa maisha yako"
Briefly, nimekulia katika ukatoliki kindakindaki. Nimekuw katika ndoto za kuwa Padri. Sijajua ilikuwaje hapa kati ila Imetoke sikufata nadhiri ile. Binafsi naamini kumshika Kristo siyo lazima kuokoka. Kwani Yesu hakuja kuanzisha dhehebu mpaka niwe RC au TAG. Nimezungukwa na waliookoka na kifupi wengi wao hawaishi hivyo na hata niwajuao ni mda tu kujua maisha yao halisi.
Je swali unaweza okoka mara mbili? Ikiwa kitendo cha Yesu kufa msalabani kimetukomboa dhambini?
Haya mapicha picha mnayatoaga wapi?Unanisaidiaje? unaweza kufa kwa upwilu?
View attachment 2590891
Umeokoka? Kipi kinachokutambulisha wewe umeokokaPole kwa shida unapitia mimi.naongea na wewe sikujui ila naungana nao uokoke tafadhali
Duniani tunahitaji kusaidiana na kupeana solutions ukiona mwenzio ana shida na dawa unajua iko wapi sio vizuri kumficha binadamu mwenzio nenda tu kwa mchungaji yeyote wa Tanzania Assemblies of God yeyote aliye karibu nawe atakusaidia kufikia hilo lengo la kuokoka na kukupa maelezo ya kutosha ukiweza hata sasa mwambie mkeo au Mama yako wakupeleke au nenda mwenyewe saa ya wokovu ni sasa wahi nenda popote ulipo hiyo shida hutaiona usiku wa leo usiseme nadhani niende kesho nenda leo leo kumaliza hilo tatizo ulale vizuri usiku
Yupo sana humu kwa IDs zingine anawachora huku anacheka "Hiiiiiiiiiiii" kwa sauti ya Hayati Dr JPM [emoji4]matawi sana ngoja nikubali matokea Half american kashinda[emoji2]
Ila usisahau yule ni mmatumbi sio mmarekani[emoji1787]
Picha ambazo anatengeneza binadamu kwa kutumia computer Zina uhusiano gani na Lucifer?Haya mapicha picha mnayatoaga wapi?
Hamjui nayo yanaweza kuwa na connection na roho za shetani?
Tafuta mkanda unaitwa "Lucifer" angalia hiyo tamthilia kisha utaelewa ninachokueleza.
IF yako sio ya half american kweli?Yupo sana humu kwa IDs zingine anawachora huku anacheka "Hiiiiiiiiiiii" kwa sauti ya Hayati Dr JPM [emoji4]
Nimemalizana na wewe jinsi ya kumaliza tatizo lako ushauri waweza ukubali au kuto ukubali ni haki yako ya kidemokrasiaUmeokoka? Kipi kinachokutambulisha wewe umeokoka
Nina rafiki yangu anaitwa Mushi. Yeye kaokoka juzi alienda safari ya kwaya Kenya. Nilimuliza swali la kuwa kipimo chake cha kuwa ameokoka ni kipi? π
Akanijibu " nikiwa katika safari zangu kama dereva nakutana na watu wengi na hata wasiomjua kuna wanaomwita MTUMISHI. Je wamejuaje yeye ni mtumishi isipokuwa kuokoka kwakeπ"