Naota navamiwa na majambazi au wachawi

Naota navamiwa na majambazi au wachawi

Binadamu Mtakatifu umesahau kuwa ulikuwa na ID unajiita shetani mkuu? [emoji51]

unachosema ni kweli na mapepo hukaa mbali na mimi kwa sababu nguvu ya Bwana Yawheh iko ndani ya roho yangu [emoji4]
Usijidanganye kabisa Chifu maana hata Ayubu alikuwa Mcha Mungu lakini bado alijaribiwa tu.

Majaribu kwa Mcha Mungu ni kipimo cha ukomavu wa imani thabiti.
 
Sujawahi kumuona mchawi au kuona mtu akiwanga. Ila imewatokea watu naowajua
Babu yangu alipohamia kijiji nachotokea kutoka maangulwa alipata shida sana na lile eneo na watoto wake wa kwanza walifariki. Nadhani kuna maeneo yako hivi yanakuwa na mikosi na mabalaa

Naamini wachawi hawajitaji bifu kuja kuwanga ni hulka yao. Una roho ngumu sana inamaana ukiwaona unaona wanafanya kitu gan? wanajua umewaona?
Mimi ni mlokole,
Nasali sana nahisi upinzani unakua mkumbwa....

Hope nimewatoboa macho kwenye ulimwengu wa roho....
 
Mm Kuna muvi ya MEL GIBSON,
DRUG ME TO HELL

Hii muvi nakumbuka nilichukia PC nipo chumbani alone Nika connect kwenye sabufa....

Hii muvi zile sound track kwenye bufa na jinsi MEL GIBSON alivyo Itendea Hali nkapata mshituko😊🤓
Gafla nikajiambia am 4 real unatizama picha la KICHAWI la kutisha ndipo nikaendelea....🤓🤓

View attachment 2590987
View attachment 2590988View attachment 2590989
Guys these thread moved from dreams to scary horror in a blink.

Binafsi sipendi juangalia horror movies. Ile series ya walking dead nilipoangalia episode ya kwanza nilifuta season zote nne. Sipendi kuchafua akili yangu kwa haya mambo kabisa. .

Drag me to hell inaonekana inatisha sana. .
 
Balaaa,andaa psychology kabisaa😂😂😂
 
Mimi ni mlokole,
Nasali sana nahisi upinzani unakua mkumbwa....

Hope nimewatoboa macho kwenye ulimwengu wa roho....
Siku zote tuko vitani kiroho na ukiwa unasali san nao wanafanya yao sana. Kuna kipindi niliumwa sana na nilipitia shida kubwa kiroho. Kama huna ulizi wa kiroho basi vita hii utashindwa?
Keshav ukiomba kila wakati. .
 
Ayubu alikuwa mcha Mungu kweli na alijaribiwa

Interlacustrine R umeokoka sasa?
Kuokoka kupo kwa aina 2.

1. Kuokoka kwa wokovu wa neema ya damu ya Yesu ili kupata uzima wa milele.

2. Kuokoka kwa kujikana nafsi (kutojihusisha na anasa za kidunia).

Biblia inanena "atayevumilia mpaka mwisho ndiye atayeokoka" inamaana wokovu wa pili ni hadi utapoondoka duniani ukiwa katika maisha ya kikristo kiimani na kivitendo ndipo utapokuwa umeokoka, Mungu na Watu ndiyo wataokutathmini wala si wewe binafsi.
 
Wasalaam

Usiku wa kuamkia leo niliota nimevamiwa na majambazi, nikaamka kuangalia saa ni saa tisa na dakika nne usiku. Nikatoka sebuleni nikaona mtu ananifanyia ssssssssssssshhhh kuashiria nikae kimya nisitoe sauti cha ajabu ila huyu mtu anafanana na Steven Seagal (sura yake) ghafla ile sura ikabadilika ikawa yangu. Mtu Yule (ambae sasa ni kivuli changu) gizani aliniashiria nizime taa nijifiche nisionekane. Kweli nilizima taa nikajikita niko mwenyewe sebuleni nikachukua filimbi nikaipuliza majirani waje kunisaidia. Nikashtuka kutoka usingizini koo kavu sana limekauka nikanywa maji nikarudi kulala nikiwa na simanzi sana. .

Kwa nini nilipata simanzi?
Nimepata simanzi kwa sababu ndoto za aina hii nimeshaota mara nne au tano hivi. Tofauti na jana nilipata kufanya maamuzi, wakati mwingine nafadhaika kwa sababu naona kuna watu nje wanachungulia dirishani ila mwili unakuwa mzito kuamka. Naweza ota majambazi au kuna mchawi anachungulia dirishani ila sasa ili niamke kujihami mwili unakuwa mzito nashindwa kuamka kabisa kitandani (bado niko usingizini). Nikishtuka usingizini nakuwa nimetoka jasho sana. Kuna muda nikiwa ndotoni na sasa nimevamiwa na majambazi unakuta natamani kupiga kelele ila sauti haitoki kabisa. Naweza piga kelele kuomba msaada ila sauti haitotoka kabisa no matter how much I scream. This has gotten to me deeply and it’s affecting my sleep and sanity. Is there a meaning behind this or it is just a nightmare? fYCK

Nahitaji msaada wa ufafanuzi au ushauri I am terrified.

Ni Wewe ndiye huyo kwenye picha??
 
Siku zote tuko vitani kiroho na ukiwa unasali san nao wanafanya yao sana. Kuna kipindi niliumwa sana na nilipitia shida kubwa kiroho. Kama huna ulizi wa kiroho basi vita hii utashindwa?
Keshav ukiomba kila wakati. .
Nikishindwa itakuaje Sasa tutapiga spana bampa to bampa....🤓🤓🤓🤓

Ntakua nasali Kila siku asbh mchana na jioni...
 
Ila I wish nihame hapa nimtafute makazi mengine....
Hapo unapoishi ni umejenga au umepanga apartments?

Hapa napoishi jamaa walikuw wanawanga sana walioniuzia. Sasa nakumbuka kuna siku nilikuja jamaa akisema akifoka sitembei akinyamaza natembea. Nilihangaika nao san mahakama hawakuniweza

Ukiwa muoga wanakutesa sana. Mara nyingi Hofu hukaa na shetani. .
 
Wasalaam

Usiku wa kuamkia leo niliota nimevamiwa na majambazi, nikaamka kuangalia saa ni saa tisa na dakika nne usiku. Nikatoka sebuleni nikaona mtu ananifanyia ssssssssssssshhhh kuashiria nikae kimya nisitoe sauti cha ajabu ila huyu mtu anafanana na Steven Seagal (sura yake) ghafla ile sura ikabadilika ikawa yangu. Mtu Yule (ambae sasa ni kivuli changu) gizani aliniashiria nizime taa nijifiche nisionekane. Kweli nilizima taa nikajikita niko mwenyewe sebuleni nikachukua filimbi nikaipuliza majirani waje kunisaidia. Nikashtuka kutoka usingizini koo kavu sana limekauka nikanywa maji nikarudi kulala nikiwa na simanzi sana. .

Kwa nini nilipata simanzi?
Nimepata simanzi kwa sababu ndoto za aina hii nimeshaota mara nne au tano hivi. Tofauti na jana nilipata kufanya maamuzi, wakati mwingine nafadhaika kwa sababu naona kuna watu nje wanachungulia dirishani ila mwili unakuwa mzito kuamka. Naweza ota majambazi au kuna mchawi anachungulia dirishani ila sasa ili niamke kujihami mwili unakuwa mzito nashindwa kuamka kabisa kitandani (bado niko usingizini). Nikishtuka usingizini nakuwa nimetoka jasho sana. Kuna muda nikiwa ndotoni na sasa nimevamiwa na majambazi unakuta natamani kupiga kelele ila sauti haitoki kabisa. Naweza piga kelele kuomba msaada ila sauti haitotoka kabisa no matter how much I scream. This has gotten to me deeply and it’s affecting my sleep and sanity. Is there a meaning behind this or it is just a nightmare? fYCK

Nahitaji msaada wa ufafanuzi au ushauri I am terrified.

Wewe wa kike au wa kiume?
 
Wewe wa kike au wa kiume?
Mimi wa kiume mwanaume. Ni mtoto wa mangi kutoka Rombo infant hata mangi Horombo ambaye jina lake linakisi Rombo ni kwa wajomba zangu huko. .

Aliua tembo kwa mikono bila Silaha na jina langu ni la huko kwa familia yake😊
 
Hapo unapoishi ni umejenga au umepanga apartments?

Hapa napoishi jamaa walikuw wanawanga sana walioniuzia. Sasa nakumbuka kuna siku nilikuja jamaa akisema akifoka sitembei akinyamaza natembea. Nilihangaika nao san mahakama hawakuniweza

Ukiwa muoga wanakutesa sana. Mara nyingi Hofu hukaa na shetani. .
Hofu hukaa na shetani,

Maana tumepewa mamlaka...ni askari kamili na tuna SMG za kiroho....

🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wasalaam
Kwa Sasa+267
 
Back
Top Bottom