Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I am Christian, Roman catholic. Napiga maombi sana ila hapa kati ninapitia changamoto za kiimani. Ngoja nikatoe sadaka kanisani. .Usisahau kuwa unaomba Mungu kabla hujalala...
Unaweza kufanya zaidi ya hapo kulingana na imani yako itakavyokutuma. ....
Pombe acha pombeI am Christian, Roman catholic. Napiga maombi sana ila hapa kati ninapitia changamoto za kiimani. Ngoja nikatoe sadaka kanisani. .
Lipa madeni mkuu, lasivyo hizo ndoto hazitoacha. 😅😅😅Wasalaam
Usiku wa kuamkia leo niliota nimevamiwa na majambazi, nikaamka kuangalia saa ni saa tisa na dakika nne usiku. Nikatoka sebuleni nikaona mtu ananifanyia ssssssssssssshhhh kuashiria nikae kimya nisitoe sauti cha ajabu ila huyu mtu anafanana na Steven Seagal (sura yake) ghafla ile sura ikabadilika ikawa yangu. Mtu Yule (ambae sasa ni kivuli changu) gizani aliniashiria nizime taa nijifiche nisionekane. Kweli nilizima taa nikajikita niko mwenyewe sebuleni nikachukua filimbi nikaipuliza majirani waje kunisaidia. Nikashtuka kutoka usingizini koo kavu sana limekauka nikanywa maji nikarudi kulala nikiwa na simanzi sana. .
Kwa nini nilipata simanzi?
Nimepata simanzi kwa sababu ndoto za aina hii nimeshaota mara nne au tano hivi. Tofauti na jana nilipata kufanya maamuzi, wakati mwingine nafadhaika kwa sababu naona kuna watu nje wanachungulia dirishani ila mwili unakuwa mzito kuamka. Naweza ota majambazi au kuna mchawi anachungulia dirishani ila sasa ili niamke kujihami mwili unakuwa mzito nashindwa kuamka kabisa kitandani (bado niko usingizini). Nikishtuka usingizini nakuwa nimetoka jasho sana. Kuna muda nikiwa ndotoni na sasa nimevamiwa na majambazi unakuta natamani kupiga kelele ila sauti haitoki kabisa. Naweza piga kelele kuomba msaada ila sauti haitotoka kabisa no matter how much I scream. This has gotten to me deeply and it’s affecting my sleep and sanity. Is there a meaning behind this or it is just a nightmare? fYCK
Nahitaji msaada wa ufafanuzi au ushauri I am terrified.
Half american unaitwa huku 😅😅😅
Google ithii ni kiti gani?
Kwani hajapigwa ban?Half american unaitwa huku 😅😅😅
Hebu funga ac kwenye chumba chako alafu acha kula machakula mengi usiku utakufa ww😂😂😂 jitahidi sana usiupe mwili shida ndogo ndogo usikuWasalaam
Usiku wa kuamkia leo niliota nimevamiwa na majambazi, nikaamka kuangalia saa ni saa tisa na dakika nne usiku. Nikatoka sebuleni nikaona mtu ananifanyia ssssssssssssshhhh kuashiria nikae kimya nisitoe sauti cha ajabu ila huyu mtu anafanana na Steven Seagal (sura yake) ghafla ile sura ikabadilika ikawa yangu. Mtu Yule (ambae sasa ni kivuli changu) gizani aliniashiria nizime taa nijifiche nisionekane. Kweli nilizima taa nikajikita niko mwenyewe sebuleni nikachukua filimbi nikaipuliza majirani waje kunisaidia. Nikashtuka kutoka usingizini koo kavu sana limekauka nikanywa maji nikarudi kulala nikiwa na simanzi sana. .
Kwa nini nilipata simanzi?
Nimepata simanzi kwa sababu ndoto za aina hii nimeshaota mara nne au tano hivi. Tofauti na jana nilipata kufanya maamuzi, wakati mwingine nafadhaika kwa sababu naona kuna watu nje wanachungulia dirishani ila mwili unakuwa mzito kuamka. Naweza ota majambazi au kuna mchawi anachungulia dirishani ila sasa ili niamke kujihami mwili unakuwa mzito nashindwa kuamka kabisa kitandani (bado niko usingizini). Nikishtuka usingizini nakuwa nimetoka jasho sana. Kuna muda nikiwa ndotoni na sasa nimevamiwa na majambazi unakuta natamani kupiga kelele ila sauti haitoki kabisa. Naweza piga kelele kuomba msaada ila sauti haitotoka kabisa no matter how much I scream. This has gotten to me deeply and it’s affecting my sleep and sanity. Is there a meaning behind this or it is just a nightmare? fYCK
Nahitaji msaada wa ufafanuzi au ushauri I am terrified.
Ulichoeleza kinadhibitisha nenda hata hospital ya vichaa waeleze unachokiona usiku ukienda kulala swali la kwanza utaulizwa huwa unakunywa pombe?Aliyekuambia mimi ni mlevi ni nani?
Unanisaidiaje? unaweza kufa kwa upwilu?
View attachment 2590891
Mke wangu ameokoka yulo TAG. I am roman catholic. .Ulichoeleza kinadhibitisha nenda hata hospital ya vichaa waeleze unachokiona usiku ukienda kulala swali la kwanza utaulizwa huwa unakunywa pombe?
Anyway sio kesi unatakiwa uokoke ukabidhi maisha yako kwa Yesu Kristo umpokee kama Bwana na Mwokozi wako na umuombe akuondolee hayo majannga
Kama hujui kuokoka ni nini nenda kanisa lolote la walokole lililo karibu nawe watakusaidia kukuelewesha
Hilo tatizo liaishe.Usiende kwao kutaka wakuombee liishe wewe waambie unataka kuokoka watakufafanulia kuokoka ni nini ukiokoka tu tatizo litaisha kama utakubali watakachokuambia nasema nenda popote
Mfano Makanisa ya Tanzania Assemblies of God yako kila eneo Tanzania nenda lililo karibu yako hakikisha linasomeka Tanzania Assemblies of God au kifupi TAG yako nchi nzima kila kijiji au mtaa Tanzania bara
😃 toka umeniacha ukaenda kwa Half american nimelia sanaTafuta pa kupunguzia
Huwezi kufa ila madhara ndo km hayo
Chumba hakitakiwi kuwa store, chumbani hakukai viatu chumbani hakukai nguo chafu chumbani hakufungwi madirisha kama mko jela chumbani hakufungwi neti kama mnavua samaki. Chumba ni kitanda na mazingira tulivu na masafi kuwe na kaflat ukutani ka music system kadogo kidogo sio kama ka sebuleni kwaajili ya kusapoti audio kwenye tv nq ac ya nguvu ambayo utapata unafuu msimu wa joto kama hali ni nzuri acha dirisha wazi lala na night dress sio unalala na jeans inakukamua mwili usiku lazima uone mapicha pichaChumba kiko poa sidhani kama tatizo ni chumba
Kwa nini kila mtu anadai chumba kina shida?😃 chumba kinatakiw kiweje?
@Da'vince una ID ngap?🤣
😅😅😅😅11pro max imeshuka bei njoo nidanganye nayo😃 toka umeniacha ukaenda kwa Half american nimelia sana
You are describing my room. Kwanza viatu viko kwenye kabati ziko locked. Pia nimetengeneza cabinet ya viatu vya kutokea tu week husika. You can see for yourself. .Chumba hakitakiwi kuwa store, chumbani hakukai viatu chumbani hakukai nguo chafu chumbani hakufungwi madirisha kama mko jela chumbani hakufungwi neti kama mnavua samaki. Chumba ni kitanda na mazingira tulivu na masafi kuwe na kaflat ukutani ka music system kadogo kidogo sio kama ka sebuleni kwaajili ya kusapoti audio kwenye tv nq ac ya nguvu ambayo utapata unafuu msimu wa joto kama hali ni nzuri acha dirisha wazi lala na night dress sio unalala na jeans inakukamua mwili usiku lazima uone mapicha picha