Naota navamiwa na majambazi au wachawi

Naota navamiwa na majambazi au wachawi

Nimemalizana na wewe jinsi ya kumaliza tatizo lako ushauri waweza ukubali au kuto ukubali ni haki yako ya kidemokrasia

Nanawa mikono nimemaliza kukushauri yaliyobaki ya kwako
Nashukuru sana kwa ushauri. .
Ila umeshindwa kufanya utume au kunipa neno zaidi ya okoka. Hujajibu swali langu kama naweza okoka mara mbili au nini maana ya kuokoka😊

Be blessed YEHODAYA
 
Anayo sema ni kweli 100% sorry nilisahau kukwambia 😁
Ila ndio ukweli
Picha za huyu jamaa ni za lucifer ? 👇 mbona hafananii
rs_600x600-130703124143-600.Gru.mh.070313.jpg
 
Picha ambazo anatengeneza binadamu kwa kutumia computer Zina uhusiano gani na Lucifer?

Tatizo mnazungumza halafu hamfafanui nitaelewaje hapo
Binadamu Mtakatifu please help
Ile kauli ya "Ibilisi wa Mtu ni Mtu" unadhani ni pambo tu?

Shetani ni roho chafu humuingia Mtu yeyote asiye na connection na Mungu.

Nimekuwekea mfano hapo wa kutafuta hiyo thamthilia kwa jina la "Lucifer" utachokutana nacho utakuja kushuhudia humu.

Picha, Sanamu, miti kama mibuyu na mikuyu, majengo yasiyokuwa na makazi ya Watu popote (si yote) huwa na muunganiko wa roho chafu/mashetani "Mizimu, Mapepo, Majini, Wachawi, Washirikina, Wanga, Walonzi na Waganga wa kienyeji".

Wazo langu si sheria, mwisho.
 
Ooh man
f4ff6aef976a226c3a08123b076e3e7d-0 (1).jpg
 
Anadhani jinsi anavyoiona hii dunia kwa macho ya nyama ndivyo jinsi ilivyo kwenye ulimwengu wa roho, pole yake kwakweli [emoji23]
Mambo mengine sio ya kiroho. It's just a picture haina maana au muunganiko na shetani. Ikiwa kila kitu mnakiunganisha na shetani wakati hausiki mnakipa maana. .

Hata simu ni chombo Je ni shetani?
 
Rudi kwenye ujumbe wangu wa awali kabisa kisha nisome vizuri katikati ya mistari utajua hukunielewa hata kwa 0.0001%.
Umesema hizi picha zinaweza kuwa na connection na shetani. Nimeshangaa kwa sababu haina uhusiano na shetani. Ni emoji tu. .
 
Mambo mengine sio ya kiroho. It's just a picture haina maana au muunganiko na shetani. Ikiwa kila kitu mnakiunganisha na shetani wakati hausiki mnakipa maana. .

Hata simu ni chombo Je ni shetani?
Ndiyo uelewe hata kama hutaki, nilishaangalia muvi za kichawichawi nyingi sana zikiwemo za Merlin na sikuathiriwa na lolote ila nilipoangalia hiyo tamthilia ya "Lucifer" nilidhihirisha kuna nguvu za giza tena nilikuwa nimefunga lakini nguvu zilikuwa zinavutana daily hadi siku nilipochukua CD nikaichoma moto ndipo roho za mauti ziliacha kuniandama.

Pia hata video za X na picha za ngono (pornographies) zipo connected na nguvu za giza maana zilinitesa sana miaka 8 kwa punyeto hadi nilipofunga na kusali sana kwa imani ndipo nikaachana na masterbation na miaka 11 sasa sijui nini maana ya punyeto.

Jifunze kujifunza uelimike na unufaike si kuwa mbishi pasipo kutafuta maarifa na kuthibitisha hoja kivitendo.
 
I watched Merlin nikiwa mwaka wa pili chuo ila ni kitambo sana. Hii movie ya Lucipher nitaitafufa kisha nikuletee mrejesho. .

Picha za uchi huaribu akili sana na hata masterbating. Kanisa Katoliki linaamini mwanaume anatakiwa amwage mbegu (essence) ndani ya vagina na akimwaga tofauti na hapo ni dhambi. .

Masterbating ni dhambi kwa sababu haihusishi what is normal. Sio kwamba nabisaha kuwa sanamu au majengo yanaweza yakausishwa na shetani la hasha. Walipotengeneza mwana ndama ili wamwabudu ilikuw dhambi ila picha niliyopost ni just emoji. Nimeshtuka ulivyosema Inahusika na shetani. .
 
Unajua unashindwa kuelewa kitu kuwa nyuma ya kila kitu hasa cartoons hua kuna nguvu ambayo hukuvuta na kukulewesha katika mambo mabaya nguvu hiyo huwekwa kwa manuizo na mapepo

Sio kila unachoona kinafanana na malaika ni malaika
Binadamu Mtakatifu umesahau kuwa ulikuwa na ID unajiita shetani mkuu? 😬

unachosema ni kweli na mapepo hukaa mbali na mimi kwa sababu nguvu ya Bwana Yawheh iko ndani ya roho yangu 😊
 
I watched Merlin nikiwa mwaka wa pili chuo ila ni kitambo sana. Hii movie ya Lucipher nitaitafufa kisha nikuletee mrejesho. .

Picha za uchi huaribu akili sana na hata masterbating. Kanisa Katoliki linaamini mwanaume anatakiwa amwage mbegu (essence) ndani ya vagina na akimwaga tofauti na hapo ni dhambi. .

Masterbating ni dhambi kwa sababu haihusishi what is normal. Sio kwamba nabisaha kuwa sanamu au majengo yanaweza yakausishwa na shetani la hasha. Walipotengeneza mwana ndama ili wamwabudu ilikuw dhambi ila picha niliyopost ni just emoji. Nimeshtuka ulivyosema Inahusika na shetani. .
Sikukuhakikishia kuwa inahusika na ushetani kwa 100% bali nilikuwa naihusisha kwa kukuuliza.

Utajuaje kuwa picha hii na ile haina connection na ushetani bila ya macho ya rohoni?

Si heri ingekuwa picha yako halisi?

Shetani yuko more technically advanced kukamata Watu.

Unajua hata madoli nayo yapo connected na nguvu za giza?

Shtuka wewe acha kukariri bali kuwa flexible kujifunza.

Masterbation psychological effects uko sahihi kabisa, ila vipi ikiwa Mtu anaelewa madhara yake tena akajiuliza hata kabla ya kuanza kujichua lakini akakaza fuvu na kujichua?

Hiyo ni akili ya Mtu halisi au kuna nguvu nyingine inayompelekea kujichua tofauti na psychology?
 
Hizi emoji tu cartoon hazina uhusiani na shetani. Mimi ni Mkristu mfuasi wa Kristo hapo juzi nimefufuka na Kristo. .
Kwenye wale Wezi wawili waliokuwa pembeni yake we ulikuwa wa upande gani ?
 
I watched Merlin nikiwa mwaka wa pili chuo ila ni kitambo sana. Hii movie ya Lucipher nitaitafufa kisha nikuletee mrejesho. .

Picha za uchi huaribu akili sana na hata masterbating. Kanisa Katoliki linaamini mwanaume anatakiwa amwage mbegu (essence) ndani ya vagina na akimwaga tofauti na hapo ni dhambi. .

Masterbating ni dhambi kwa sababu haihusishi what is normal. Sio kwamba nabisaha kuwa sanamu au majengo yanaweza yakausishwa na shetani la hasha. Walipotengeneza mwana ndama ili wamwabudu ilikuw dhambi ila picha niliyopost ni just emoji. Nimeshtuka ulivyosema Inahusika na shetani. .
Mm Kuna muvi ya MEL GIBSON,
DRUG ME TO HELL

Hii muvi nakumbuka nilichukia PC nipo chumbani alone Nika connect kwenye sabufa....

Hii muvi zile sound track kwenye bufa na jinsi MEL GIBSON alivyo Itendea Hali nkapata mshituko😊🤓
Gafla nikajiambia am 4 real unatizama picha la KICHAWI la kutisha ndipo nikaendelea....🤓🤓

MV5BMTU0MTA1MDM5M15BMl5BanBnXkFtZTgwOTM5NDcxNjM@._V1_.jpg

drag-me-to-hell.jpg
MV5BMjA4Mzg3ODc2NF5BMl5BanBnXkFtZTcwOTczOTIxMw@@._V1_.jpg
 
Back
Top Bottom