Naota navamiwa na majambazi au wachawi

Lipa madeni mkuu, lasivyo hizo ndoto hazitoacha. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hebu funga ac kwenye chumba chako alafu acha kula machakula mengi usiku utakufa wwπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jitahidi sana usiupe mwili shida ndogo ndogo usiku
 
Aliyekuambia mimi ni mlevi ni nani?
Ulichoeleza kinadhibitisha nenda hata hospital ya vichaa waeleze unachokiona usiku ukienda kulala swali la kwanza utaulizwa huwa unakunywa pombe?

Anyway sio kesi unatakiwa uokoke ukabidhi maisha yako kwa Yesu Kristo umpokee kama Bwana na Mwokozi wako na umuombe akuondolee hayo majannga

Kama hujui kuokoka ni nini nenda kanisa lolote la walokole lililo karibu nawe watakusaidia kukuelewesha

Hilo tatizo liishe.Usiende kwao kutaka wakuombee liishe,wewe waambie unataka kuokoka watakufafanulia kuokoka ni nini ukiokoka tu tatizo litaisha kama utakubali watakachokuambia nasema nenda popote
Mfano Makanisa ya Tanzania Assemblies of God yako kila eneo Tanzania nenda lililo karibu yako hakikisha linasomeka Tanzania Assemblies of God au kifupi TAG yako nchi nzima kila kijiji au mtaa Tanzania bara
 
Hebu fungabac kwenye chumba chako alafu acha kula machakula mengi usiku utakufa wwπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jitahidi sana usiupe mwili shida ndogo ndogo usiku
Chumba kiko poa sidhani kama tatizo ni chumba
Kwa nini kila mtu anadai chumba kina shida?πŸ˜ƒ chumba kinatakiw kiweje?

Da'Vinci una ID ngap?🀣
 
Mke wangu ameokoka yulo TAG. I am roman catholic. .
Huwa namweleza wokovu nimeupata pale Yesu alipojitoa kwa ajili yangu msalabani. Nifafanulie unaweza Okoka mara ngap?
 
Chumba kiko poa sidhani kama tatizo ni chumba
Kwa nini kila mtu anadai chumba kina shida?πŸ˜ƒ chumba kinatakiw kiweje?
@Da'vince una ID ngap?🀣
Chumba hakitakiwi kuwa store, chumbani hakukai viatu chumbani hakukai nguo chafu chumbani hakufungwi madirisha kama mko jela chumbani hakufungwi neti kama mnavua samaki. Chumba ni kitanda na mazingira tulivu na masafi kuwe na kaflat ukutani ka music system kadogo kidogo sio kama ka sebuleni kwaajili ya kusapoti audio kwenye tv nq ac ya nguvu ambayo utapata unafuu msimu wa joto kama hali ni nzuri acha dirisha wazi lala na night dress sio unalala na jeans inakukamua mwili usiku lazima uone mapicha picha
 
You are describing my room. Kwanza viatu viko kwenye kabati ziko locked. Pia nimetengeneza cabinet ya viatu vya kutokea tu week husika. You can see for yourself. .

Naishi nyumba kubwa na mke wangu tu chumba hakina mkorokoroπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…