Naota navamiwa na majambazi au wachawi

Naota navamiwa na majambazi au wachawi

Ahahah
Ghetoo lako huna haja ya kwenda kukinga maji nje unatega beseni chini na mvua hizi unajaza vyombo vyote😄


Oya Half american leo mbona haonekan Pande hizi. Kala ban au basi tu ana stress za kupigwa mbili bila😃
a kuku mmoja wewe nakufuga af bado unaleta jeuri ngoja nimpe namba Binadamu Mtakatifu ya dada yako ane ajipigie
 
Ahahah

a kuku mmoja wewe nakufuga af bado unaleta jeuri ngoja nimpe namba Binadamu Mtakatifu ya dada yako ane ajipigie
Hana jeuri ya kumtaka dada yangu na kwanza hana utakatifu wowote😄🤣

IMG-20230329-WA0039.jpg
Kwanza dada yangu Nampa Bueno 😊
 
Mwanangu umeadimika sana vipi ulienda kuoa?

Story zenyew sijafatilia for weeks kwan zinaendelea?
Kuoa wapi wakati huko kwa mromboo siku hizi mnauza watoto wakike kwa kutaka mahari ndefu sana kwakua mmestuka ndoa hazidumu sababu ya tamaa za mali😂😂😂
 
Back
Top Bottom