Naota navamiwa na majambazi au wachawi

Kuna watu humu ndani ni wajuaji kwa sababu wanajua mimi ni mchaga kutoka Rombo hawachelewi kusema kuwa nimelewa nyagi au Kvant. Si kweli huwa nakunywa mbege mara moja moja situmii kilevi kingine. .
View attachment 2590865
Ok ndugu mahaka kindo ngamanya kunu duniani ni umhembe Mungu. Kaba magoti umbese ni chwiki alikurora. Kwa mhemba Mungu ekurora.
 
Ok ndugu mahaka kindo ngamanya kunu duniani ni umhembe Mungu. Kaba magoti umbese ni chwiki alikurora. Kwa mhemba Mungu ekurora.
Kila mfiri wa Mungu ngekaba magoti ngafina na masoru Ruha ngeeeka. Ngamanya kindo che sumbwa ku. Ngaamba labda vameku vekundi ka mburu😊
 
Hongera mkuu ila isiwe boss friji maana Kuna vifaa vya umeme vinaitwa boss😂
 
View attachment 2591436
That's not cool washindwe
Mfano mziki unapo kuskiliza hadi kujikuta zealous kabisa ndio wakati huo huo unakuwa unajikabidhi na kuabudu watu wa giza Sawa na Mfalme Daudi alipo kuwa akisifu na kuabudu Mungu hadi nguo zinamvuka na hakujua hilo mana alimuona Mungu na UFALME wake pekee.
Wanakopiga Bible wanaenda kinyume.
Kuwa makini na Movie, Mziki na michezo na Burudani pia.
 
Kila mfiri wa Mungu ngekaba magoti ngafina na masoru Ruha ngeeeka. Ngamanya kindo che sumbwa ku. Ngaamba labda vameku vekundi ka mburu😊
No linu kwa Kaba magoti hemba kwa samu ya ma Yesu. Wishi kwete handu twetekua. Kwete handu lazima tulips. Kindo ni chwiki twelipa. Yesu kafufuke tiki alekomana na walifu Vaya vemtafuta ila kavahemaba watamre mpaka aende kwa mmeku mbinguni akamate samu yakwe. Maana kwenye handu ivelihitajika. Kwa enda utaende na Irina tiki. Enda na samu na idue kama malipo kwa madeni ose.
 
UKIONA UMEOOTA MTU ANAKUCHUNGULIA DIRISHANI. HUWA MARA NYINGI KUNA MCHAWI YUPO KARIBU YAKO MOST OF THE TIME

ILA KUHUSU UJAMBAZI SIJUI

SITANIII NAMAANISHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…