Ndio ila mimi kuwa na hela haimnufaishi mtu humuHuo Uzi hujauandika wewe. kitu nilicho dhani nimesha kishinda, ila baada ya kupata vijisenti juzi kati,
Hiyo bold imeandika wewe mwenyewe sasa mbona sasa unakanusha umesema mwenyewe kuwa umepata vijisenti sasa unakanusha nikuelewe vipi
Unatamani usichoweza kukipata π₯΄π₯΄Mbona kuna muda nilijisemea ya kuwa sasa nimeacha ila nilipo pata mpunga wa kutosha hii hali ikarudi kwa nguvu sana?
Ile siku gani? Kama ni kuhusu mada yako, ulinzingua wewe na hoja zako uchwaraKumbe ndio maana ulikuwa unawareness siku zile. Kibaya zaidi hukuwa na hoja. Sasa naelewa shida ni nini?
Mbona naona nikipata mke ndo itatulia, maana hizi hamu zitahamia kwake! Nitamweka wazi ili naye achukue jukumu la kuni Linda nisiingie dhambiniKwa hali yako sasa hivi sio wakati wa kutafuta mke. Lazima upasuke.
Subiri ukikomaa
Kaka jitahidi kuwala muda huu kabla nguvu za kiume hazijakukimbia, tamani, omba, ila usifosi πNdugu mimi naona nimeptiliza kwa kweli. Kuna muda nakemea hili pepo kumbe nikipata pesa linarudi kwa kasi ya 5g
Sasa kama huwezi kujidhibiti utaweza kweli vitu kama martial arts? Control fikra tu.Mkuu binafsi ni kitu kinacho tokea mpaka Nashindwa kuelewa... Kama huyu jirani nimeweka kwenye target na siwezi kumtoa mawazoni mpaka sasa nawaza namna ya kumlaza kitandani. Mawazo haya nayapinga kwa nguvu zote ila bado yapo na yananitawala bila mimi kutaka
au sio haya mkuuHakuna mkate mgumu mbele ya chai.
Kama unaishia kwenye kutamani wala usiwaze, wanaume wengi wamejawa tamaa ya mwili, it's absolutely normal.
Tatizo ni pale kila unayemtamani unapambana umvue, utakufa masikini coz there's no free lunch anymore.
Ndugu ukiendelea chini akili nazo zinahamia huko... Najua madhara yake ndo maana Natafuta mbinu, ya kuacha mdogo mdogo. Maana itanichukua muda, mwili na subconscious hazina control ya moja kwa mojaKaka jitahidi kuwala muda huu kabla nguvu za kiume hazijakukimbia, tamani, omba, ila usifosi π
Kama hutojali Mkuu unaangukia kundi gani katika makundi ya umri yafuatayo:-Ndugu ukiendelea chini akili nazo zinahamia huko... Najua madhara yake ndo maana Natafuta mbinu, ya kuacha mdogo mdogo. Maana itanichukua muda, mwili na subconscious hazina control ya moja kwa moja
Sitaki kuja kuwa maarufu wa kulala na wanawake mkuu..Wasikutishe, ebu ongeza bidii hadi upate tuzo mkuu....πView attachment 3659606
sawa sawaShida sio kupata shida ni kuacha mkuu.
Endelea kuchakata mbususu Mkuu huo ndo umri wenyewe huo, nakushauri usiwahi kuoa na kumbuka kucheza salama wkt wote,hakikisha pia unafanya maendeleo, Maisha Matamu=Kazi+Maendeleo+Bata, hutojutia.25 35