Napambana na uraibu wa kutamani wanawake

Ndiyo, kuwa mkweli tu ukihisi hamu ya kufanya ngono unaweza kuiamuru akili yako ukimbie walau kilomita 5 kuwa mkweli tu ?
I can, but huwa inakuwa sina hata hilo wazo, unakuta labda uko na washikaji mara unapita pisi, then wewe unaitolea macho na kujikuta unaifukuzia
 
Kama ni Mkatoliki nenda kafanye maungamo na hudhuria hija yenye rehema kamili. Yote hayo ukiwa na nia ya kuomba msaada wa kuacha kabisa. Baada ya hapo endelea kushiriki Ekaristi mara nyingi utavyoweza! Hiyo kiu itakata na utajishangaa.
 
πŸ™πŸ™
 
I can, but huwa inakuwa sina hata hilo wazo, unakuta labda uko na washikaji mara unapita pisi, then wewe unaitolea macho na kujikuta unaifukuzia
Sasa ipo namna ya kudhibiti hisia si kwamba kuna watu hawana hisia zipo ila kuna ya kudhibiti hapo ndipo hata wale wanaitwa commando hufundwa mental toughness kuifanya akili isikuendeshe pia kuweza kutulia hata wakati wa shinikizo kubwa akili yako ibaki na uwezo wa kuwa kawaida. Tuwe wakweli umbile haliwezi kusimama sawasawa bila wewe kuweka picha ya kile kitachofanya upate hisia.

Kila kitu kinaanzia akilini tu mkuu ndo maana kuna watu wachache waliofundwa hawawezi tawalika kirahisi na hisia.
 
Aisee kweli kila mtu na mapungufu yake, Nimeamini MUNGU atamlipa kila mja kwa kadiri ya haki yake.

Mkuu kwanini usianze mahusiano serious? Kumbe ulikuwa unakamata pisi kama ShesRise_1 halafu unaleta drama! U can't be serious
How old a u?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…