masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Yaani silali kwa ajili ya ndugu zanguUpo sahihi sana Mungu anataka kukutumia kwa ajili ya ndugu zako na amini kwamba misaada unayotoa sasa Mungu atakubariki siku za mbeleni.Watoto wakiume wengi wanamajukumu sana kuanzia mke watoto ndugu zake ndugu wa mke nk tofauti na wanawake
Bro ana mke?Watoto wakiume naona kama ni ngumu sana kusaidiana. Nahisi kama Mungu ananijalia kipato ili niwainue ndugu zangu.
Yaani ninahisi nina jukumu hilo mabegani kwangu, Ila kuna mkubwa wetu mmoja wa kiume aliyetoka simuoni akipush hata kwa kidogo wenzake.
Mimi ndo wakike pekee na ninataka ndugu kaka zangu wote wawe na uwezo huko mbeleni kupitia mimi
Nahisi hii ndo sadaka pekee ninayo hisi kuwajibika nayo au nakosea ndugu zangu?
Ndio kakaBro ana mke?
Siwezi acha kaka zangu hata siku mojaAcha nao.
Kila mpuuzi ale kwa urefu wa kamba yake
Hongera kwa kujitambua.Watoto wakiume naona kama ni ngumu sana kusaidiana. Nahisi kama Mungu ananijalia kipato ili niwainue ndugu zangu.
Yaani ninahisi nina jukumu hilo mabegani kwangu, Ila kuna mkubwa wetu mmoja wa kiume aliyetoka simuoni akipush hata kwa kidogo wenzake.
Mimi ndo wakike pekee na ninataka ndugu kaka zangu wote wawe na uwezo huko mbeleni kupitia mimi
Nahisi hii ndo sadaka pekee ninayo hisi kuwajibika nayo au nakosea ndugu zangu?
Mzunguko wa kipato cha mwanaume ni mkubwa na kama ameoa ndio balaa. Kama unaona mabroo wanatumia hela kwa mambo ya hovyo kama mademu na pombe labda jaribu kiwashirikisha wakubwa wa familia yaani baba, mama, mjomba n.kWatoto wakiume naona kama ni ngumu sana kusaidiana. Nahisi kama Mungu ananijalia kipato ili niwainue ndugu zangu.
Yaani ninahisi nina jukumu hilo mabegani kwangu, Ila kuna mkubwa wetu mmoja wa kiume aliyetoka simuoni akipush hata kwa kidogo wenzake.
Mimi ndo wakike pekee na ninataka ndugu kaka zangu wote wawe na uwezo huko mbeleni kupitia mimi
Nahisi hii ndo sadaka pekee ninayo hisi kuwajibika nayo au nakosea ndugu zangu?
Kaka zangu woote wastaarabuMzunguko wa kipato cha mwanaume ni mkubwa na kama ameoa ndio balaa. Kama unaona mabroo wanatumia hela kwa mambo ya hovyo kama mademu na pombe labda jaribu kiwashirikisha wakubwa wa familia yaani baba, mama, mjomba n.k