kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,451
- 2,059
Watoto wakiume naona kama ni ngumu sana kusaidiana. Nahisi kama Mungu ananijalia kipato ili niwainue ndugu zangu.
Yaani ninahisi nina jukumu hilo mabegani kwangu, Ila kuna mkubwa wetu mmoja wa kiume aliyetoka simuoni akipush hata kwa kidogo wenzake.
Mimi ndo wakike pekee na ninataka ndugu kaka zangu wote wawe na uwezo huko mbeleni kupitia mimi
Nahisi hii ndo sadaka pekee ninayo hisi kuwajibika nayo au nakosea ndugu zangu?
Jihangaikie Wewe Mwenyewe na Watoto Wako ndugu Yangu.!
Hilo jukumu unalolihitaji Litakufanya uje Ujute huko baadae hasa unakapokua 'age go' umezeeka..!
Kila Mmoja hata kama ulimtoa kimtaji atakuwa na Yeye anahangaika na Familia yake na sio Wewe.!
Ukijichanganya tu..ujue itakuLamba..!