malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Mbona huamini mkuuHow is this even possible!
Zinafaa zaid mikoani hasa mawilayani mkuu utaweza ishi ukoUnafanya biashara gani mkuu. Tui-clone sehemu nyengine.
Nauza mbao na ofisi ya vinywaji hasa juis zamakampuni Azam, Mo, Sayona na hardware.Unafanya biashara gani mkuu. Tui-clone sehemu nyengine.
Fuatilia vizuri hesabu zako. Kama unapata changamoto tafuta bookkeeper akusaidie.Nauza mbao na ofisi ya vinywaji hasa juis zamakampuni Azam, Mo, Sayona na hardware.
Mkuu nazifuatilia vizur sana na me mwenyewe nauleweza mzur financial statemne and p&LFuatilia vizuri hesabu zako. Kama unapata changamoto tafuta bookkeeper akusaidie.
Kama unafuatilia vizuri. Umegundua kwa nini haziongezeki?Mkuu nazifuatilia vizur sana na me mwenyewe nauleweza mzur financial statemne and p&L
Mpaka nahis ntakua nafanyiwa mambo yakiswahiliKama unafuatilia vizuri. Umegundua kwa nini haziongezeki?
Dawa ya mambo ya kiswahili a.k.a chuma ulete si simple tu mkuu uhitaji hata mganga.Mpaka nahis ntakua nafanyiwa mambo yakiswahili
Mkuu napopoteka nisitenge na nyingine nadroo hiyo hiyo nahudumia watu kibao Tena wenye hela ndogo ndogo ndio wengi NtazigengajeDawa ya mambo ya kiswahili a.k.a chuma ulete si simple tu mkuu uhitaji hata mganga.
1. Tia mkaa unapoweka hela.
2. Weka ndimu iliyochomwa na sindano.
3. Usipokee hela za jioni unapokaribia kufunga biashara au unapopokea zitenge na nyingine.
Fanya kimojawapo kati ya hayo.
Bila kusahau kuogea maji ya chumvi ya mawe.
Mkuu matumiz yangu per day hayavuki 50000Fafanua haya labda unapoteza pesa sababu haujui kufanya matumizi.
Mbali na chuma ulete naskia wame advance zaid siku hizi mtu anaingia dukani mpaka katika droo haonekani namtu yoyote Kisha anachukua pesa anayoitakaDawa ya mambo ya kiswahili a.k.a chuma ulete si simple tu mkuu uhitaji hata mganga.
1. Tia mkaa unapoweka hela.
2. Weka ndimu iliyochomwa na sindano.
3. Usipokee hela za jioni unapokaribia kufunga biashara au unapopokea zitenge na nyingine.
Fanya kimojawapo kati ya hayo.
Bila kusahau kuogea maji ya chumvi ya mawe.
Matumiz yepi hapo nimekuambia matumiz ni hayafiki 50000Mtaji huwezi ongezeka kama spending zako zisizo na msingi unazifanya..... Uchawi hapo ni matumizi yako yasiyo ya ulazima ni mengi
Faida ghafiFAIDA GHAFI AU MAUZO?
Weka sawa hii tukushauri.
Mkuu faida ghafiMauzo ama faida hebu rudia tena ili tukuelewe vizuri.