Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Acha ujinga. Pesa kuliwa na panya ndiyo uswahili?Uswahili upo kuna siku nimeingia job ,fungua droo huez Amin pesa zimeliwa na panya Zote zaidi ya 300k . Sitoisahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga. Pesa kuliwa na panya ndiyo uswahili?Uswahili upo kuna siku nimeingia job ,fungua droo huez Amin pesa zimeliwa na panya Zote zaidi ya 300k . Sitoisahau
Hivi inawezekana ukauza 2M kwa siku na faida ikawa chini ya 200K?Sahih kbsa. Umemjibu kiuhasibu Sana. Mnk anacho fanya faida. Kabla hajatoa ghrama za uendeshaji na kila cost alizo ingia kwa siku ,week ,mwez Sasa yey anauza juis kweli upate laki nne kwa siku
Mm nauza mabati na nondo na faida yangu hata haifiki laki mbili kwa siku ila mauzo Ni makubwaa
Hata kupata chini ya laki Moja inawezekana tu,mf.mi nauza sukari kg50 faida 3000,kg 50 unainunua139000 unauza 142000,kuuza mil 2 ni almost mifuko 14,ko 14*3000=42000Hivi inawezekana ukauza 2M kwa siku na faida ikawa chini ya 200K?
Safi, kikubwa mali na daftari na uzuri sikuizi kuna technology kuna zile apps au website za kumonitor mauzo hapa unaona stock ikiyobaki iliyouzwa faida hasara na vinginevyoHata kupata chini ya laki Moja inawezekana tu,mf.mi nauza sukari kg50 faida 3000,kg 50 unainunua139000 unauza 142000,kuuza mil 2 ni almost mifuko 14,ko 14*3000=42000
Shida ipo kwenye matumiziHabari wakuu ushauri kwenu nahitaji.
Katika biashara zangu tatu wastani wajumla napata faida ghafi laki nne kwa siku wakat mwingne huzid hapo.
Ila mtaji wangu kwa mwaka nikama hauongezeki uko pale pale.
Ukizingatia matumizi yangu kiujumla kwa siku ni 40000-50000 sababu ya familia kubwa.
Okay , duka la mangi unajuaje Net Profit per day? Kwa sababu rent utalipa kwa mwezi yaani fixed, umeme etc. Cha kumshauri aanze kufunga hesabu kwa mwei tuView attachment 2817338
Mtoa mada imebidi nigoogle kwanza faida ghafi kumbe ni gross profit,
Sasa kama laki 4 ni faida ghafi maana yake ni mauzo - gharama za bidhaa, swali kwako faida ni shilingi ngapi (net profit)
Maana unaweza kua na matumizi hayo uliyoyasema kwa siku ni elfu 50, kumbe unakula mtaji(jokes)
Lazima ujue faida halisi ni ngapi, na matumizi ni ngapi ndo uone hapo
Habari wakuu ushauri kwenu nahitaji.