Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sielewi vip kama naleta gari lambao Lina mbao 3500 baada kuuza wiki mibili Kila mbao wastani inaniachia faida ya 900 Kila mbao piga hesabu hapo maana nauza gari moja na nusu kwa mwezi hapo faida ghafi nizaid ya m3.5Huyu anataka kuambiwa kuwa ni ''chuma ule'' kitu ambacho hakuna. Sana sana naona kuna ufanyaji mahesabu mbovu ambao unaonyesha faida kumbe kiuhasilia siyo faida. Kama ulivyomshauri inatakiwa hiyo faida kama anadhani ipo basi aitenge kila siku jioni baada ya mahesabu na apeleke benki kila wiki au mara kwa mara.
Tatizo lako ni kuwa ''faida'' yako iko kwenye vitabu na siyo uhasilia. Ni hivi: Uwe na kitabu cha rekodi. Hesabu mbao zako kila siku asubuhi kabla ya kufungua na jioni baada ya kufunga. Pia andika mbao unazouza kwa siku, na faida yake. Hesabu fedha ziendane na rekodi yako kwenye daftari la kunakili mbao. Kwa kifupi tatizo lako siyo jipya na nimeshakutana na wenye maduka wengi wanalalamika. Usipojua mwanzo wa siku mabo ziko ngapi, kwa siku umeuza ngapi, na jioni zimebaki ngapi, na fedha ziendane na mahesabu ni hutakaa ujue tatizo lillipo.Mkuu sielewi vip kama naleta gari lambao Lina mbao 3500 baada kuuza wiki mibili Kila mbao wastani inaniachia faida ya 900 Kila mbao piga hesabu hapo maana nauza gari moja na nusu kwa mwezi hapo faida ghafi nizaid ya m3.5
Mkuu sielewi vip kama naleta gari lambao Lina mbao 3500 baada kuuza wiki mibili Kila mbao wastani inaniachia faida ya 900 Kila mbao piga hesabu hapo maana nauza gari moja na nusu kwa mwezi hapo faida ghafi nizaid ya m3.5
Uswahili upo kuna siku nimeingia job ,fungua droo huez Amin pesa zimeliwa na panya Zote zaidi ya 300k . SitoisahauDawa ya mambo ya kiswahili a.k.a chuma ulete si simple tu mkuu uhitaji hata mganga.
1. Tia mkaa unapoweka hela.
2. Weka ndimu iliyochomwa na sindano.
3. Usipokee hela za jioni unapokaribia kufunga biashara au unapopokea zitenge na nyingine.
Fanya kimojawapo kati ya hayo.
Bila kusahau kuogea maji ya chumvi ya mawe.
Kumbe yapoDawa ya mambo ya kiswahili a.k.a chuma ulete si simple tu mkuu uhitaji hata mganga.
1. Tia mkaa unapoweka hela.
2. Weka ndimu iliyochomwa na sindano.
3. Usipokee hela za jioni unapokaribia kufunga biashara au unapopokea zitenge na nyingine.
Fanya kimojawapo kati ya hayo.
Bila kusahau kuogea maji ya chumvi ya mawe.
Sasa kama faida inarudi kuzunguka katika biashara unasemaje mtaji haukui? Ila biashara za Wasukuma aisee!Faida inarudi kuzinguuka ktk biashara
Kwani mkuu bei ya kufungasha mbao gari moja mtaji shilingi ngapi..?Mkuu sielewi vip kama naleta gari lambao Lina mbao 3500 baada kuuza wiki mibili Kila mbao wastani inaniachia faida ya 900 Kila mbao piga hesabu hapo maana nauza gari moja na nusu kwa mwezi hapo faida ghafi nizaid ya m3.5
Kwenye post yangu nyingine nimekuambia: Uwe na kitabu. Hesabu mbao zote kila siku kabla ya kufungua na baada ya kufunga. Andika mbao zote zinazouzika kila siku na hesabu fedha zako za mauzo kila siku. Hakikisha idadi ya mbao ulizouza kwa siku zinalingana na fedha ulizouza kwa siku. Na mwisho (ila muhimu sana), wakati unahesabu mbao hakikisha unahesabu mbao nzima. Yes, kuna watu wanaweza kukuwekea ''maboya''. Yaani wanachukuwa mbao moja, wanaikata vipisi vifupi vifupi, halafu wanazichomeka kwa ndani, mwanzo na mwisho wa lundo la mbao zako ili unapohesabu uone ni mbao. Mchezo huu hufanywa sana na walinzi wa usiku unapokuwa umeenda kulala. Na ni wajanja kweli kweli kwani wanachomeka kwenye yale malundo ya ndani kabisa ambayo wanajua hutauza kesho yake. Hili nimeliona na usipuuze. Angalia picha ya chini. Wewe unahesabu mbao kwa nje ukidhani ni mbao nzima kumbe ni kipisiMkuu sielewi vip kama naleta gari lambao Lina mbao 3500 baada kuuza wiki mibili Kila mbao wastani inaniachia faida ya 900 Kila mbao piga hesabu hapo maana nauza gari moja na nusu kwa mwezi hapo faida ghafi nizaid ya m3.5
Mwezi uliopita umerudisha kiasi gani kwenye biashara na ulimake kiasi ganiFaida inarudi kuzinguuka ktk biashara
hahaha mkuu🤣Sahih kbsa. Umemjibu kiuhasibu Sana. Mnk anacho fanya faida. Kabla hajatoa ghrama za uendeshaji na kila cost alizo ingia kwa siku ,week ,mwez Sasa yey anauza juis kweli upate laki nne kwa siku
Mm nauza mabati na nondo na faida yangu hata haifiki laki mbili kwa siku ila mauzo Ni makubwaa
Huu Uzi ufugwe rasimi,hicho ndicho anatakiwa kufanya ikiwezekana laki 2 weka Benki laki mbili ongeza mtaji na km hakuna ulazima wa kufanya hivyo Basi usipeleke kwenye biashara,ongeza mtaji kwenye ulazima,km inakusumbua Sana inakubidi ununue assets zingine ili mradi siku ukiyumba ujue unakiwanja Cha million 6 vitatu au vinne ambavyo vitakuinua badae,ni hatari kuona biashara haikui huku unajua kiasi unachoingizamkuu kama unapata faida hiyo fungua account. pesa yote ya faida ukitoa ile ya matumizi ya kibinadam iweke benk kwenye akAunti maalum ambayo hutoweza kutoa.
baada ya mwaka uje kutoa ushuhuda. mimi siamini kwenye uchawi. mchawi wa kwanza ni wewe mwenyewe. ambae unashindwa kujibana na kusave mapato yako.
Utakuwa kuna sehemu unatoa hela kwa Raha zako na huweki kwenye hesabu.Habari wakuu ushauri kwenu nahitaji.
Katika biashara zangu tatu wastani wajumla napata faida ghafi laki nne kwa siku wakat mwingne huzid hapo.
Ila mtaji wangu kwa mwaka nikama hauongezeki uko pale pale.
Ukizingatia matumizi yangu kiujumla kwa siku ni 40000-50000 sababu ya familia kubwa.
Mkuu nafanya stock taking na hivo vyote unavyovisemaTatizo lako ni kuwa ''faida'' yako iko kwenye vitabu na siyo uhasilia. Ni hivi: Uwe na kitabu cha rekodi. Hesabu mbao zako kila siku asubuhi kabla ya kufungua na jioni baada ya kufunga. Pia andika mbao unazouza kwa siku, na faida yake. Hesabu fedha ziendane na rekodi yako kwenye daftari la kunakili mbao. Kwa kifupi tatizo lako siyo jipya na nimeshakutana na wenye maduka wengi wanalalamika. Usipojua mwanzo wa siku mabo ziko ngapi, kwa siku umeuza ngapi, na jioni zimebaki ngapi, na fedha ziendane na mahesabu ni hutakaa ujue tatizo lillipo.
Ndio maana tunafanya tathimini ya biashara mwishoni mwa mwaka au baada ya miezi sita kufanya stocktaking,cash in hand,cash at bank,madeni yanayolipika Toka kwa ninao wadai..mwisho wa siku napata thamani ya mtaji je umekua umeongezeka kiasi Gani au umepunguaSasa kama faida inarudi kuzunguka katika biashara unasemaje mtaji haukui? Ila biashara za Wasukuma aisee!
ewaaa ndio lengo la mada yako.... cc ni wabongo tunajuanaaa sisi wachawiii tunasomanaa hatufikiri riri tupo kama vibwengo ngo ngo mandondochaaaa vikaragosii baba kwanza mtaji ulipata wapi? Nikupe siri ya utajirMpaka nahis ntakua nafanyiwa mambo yakiswahili
Sio pesa nyingi 20m-35m maana mbao huwa nimchanganyiko unamix na Bei zinatofautiana kwa hizo size za mixerKwani mkuu bei ya kufungasha mbao gari moja mtaji shilingi ngapi..?
Mtaji niliupata sababu nakofanyia business before hakukuwa na muamko wa watu kufanya biashara so tulikua tunatengeneza faida nzuri hapo ndipo mtaji ulipokuliaewaaa ndio lengo la mada yako cc ni wabongo tunajuana sisi wachawii tunasomanaa hatufikiriri tupo kama watoto too,, mandondochaaaa vikaragosii baba kwanza mtaji ulipata wapi? Nikupe siri
Asante kwa ushauri nUtakuwa kuna sehemu unatoa hela kwa Raha zako na huweki kwenye hesabu.
Mfano.
1. Kuhonga kwa Raha zako.
2. Kusaidia ndugu zako kama kusomesha
3. Kutoa sadaka na ujenzi wa Kanisa.
Hizo zote unazifanya Tena kwa Raha bila kuhesabu.
Changamoto ya pili ni wewe mwenyewe hunatena uwezo wa kuikuza biashara, nakushauri, uongeze mtu mwenye upeo wa juu zaidi ili akusukume juu zaidi