Napata faida ghafi kwa siku 400,000=lakini mtaji hauongezeki

Mkuu sielewi vip kama naleta gari lambao Lina mbao 3500 baada kuuza wiki mibili Kila mbao wastani inaniachia faida ya 900 Kila mbao piga hesabu hapo maana nauza gari moja na nusu kwa mwezi hapo faida ghafi nizaid ya m3.5
 
Mkuu sielewi vip kama naleta gari lambao Lina mbao 3500 baada kuuza wiki mibili Kila mbao wastani inaniachia faida ya 900 Kila mbao piga hesabu hapo maana nauza gari moja na nusu kwa mwezi hapo faida ghafi nizaid ya m3.5
Tatizo lako ni kuwa ''faida'' yako iko kwenye vitabu na siyo uhasilia. Ni hivi: Uwe na kitabu cha rekodi. Hesabu mbao zako kila siku asubuhi kabla ya kufungua na jioni baada ya kufunga. Pia andika mbao unazouza kwa siku, na faida yake. Hesabu fedha ziendane na rekodi yako kwenye daftari la kunakili mbao. Kwa kifupi tatizo lako siyo jipya na nimeshakutana na wenye maduka wengi wanalalamika. Usipojua mwanzo wa siku mabo ziko ngapi, kwa siku umeuza ngapi, na jioni zimebaki ngapi, na fedha ziendane na mahesabu ni hutakaa ujue tatizo lillipo.
 
Mimi nakupongeza kwa kulenga location, aisee unasukuma Gari moja na nusu kwa mwezi. Hiyo location iko poa sana, zingatia hesabu zako kama wadau walivyo shauri huko juu ili kuongeza mtaji wako. Mkuu na mimi nitafutie location tafadhali.
Mkuu sielewi vip kama naleta gari lambao Lina mbao 3500 baada kuuza wiki mibili Kila mbao wastani inaniachia faida ya 900 Kila mbao piga hesabu hapo maana nauza gari moja na nusu kwa mwezi hapo faida ghafi nizaid ya m3.5
 
Uswahili upo kuna siku nimeingia job ,fungua droo huez Amin pesa zimeliwa na panya Zote zaidi ya 300k . Sitoisahau
 
Kumbe yapo
 
Mkuu sielewi vip kama naleta gari lambao Lina mbao 3500 baada kuuza wiki mibili Kila mbao wastani inaniachia faida ya 900 Kila mbao piga hesabu hapo maana nauza gari moja na nusu kwa mwezi hapo faida ghafi nizaid ya m3.5
Kwenye post yangu nyingine nimekuambia: Uwe na kitabu. Hesabu mbao zote kila siku kabla ya kufungua na baada ya kufunga. Andika mbao zote zinazouzika kila siku na hesabu fedha zako za mauzo kila siku. Hakikisha idadi ya mbao ulizouza kwa siku zinalingana na fedha ulizouza kwa siku. Na mwisho (ila muhimu sana), wakati unahesabu mbao hakikisha unahesabu mbao nzima. Yes, kuna watu wanaweza kukuwekea ''maboya''. Yaani wanachukuwa mbao moja, wanaikata vipisi vifupi vifupi, halafu wanazichomeka kwa ndani, mwanzo na mwisho wa lundo la mbao zako ili unapohesabu uone ni mbao. Mchezo huu hufanywa sana na walinzi wa usiku unapokuwa umeenda kulala. Na ni wajanja kweli kweli kwani wanachomeka kwenye yale malundo ya ndani kabisa ambayo wanajua hutauza kesho yake. Hili nimeliona na usipuuze. Angalia picha ya chini. Wewe unahesabu mbao kwa nje ukidhani ni mbao nzima kumbe ni kipisi

 
Faida inarudi kuzinguuka ktk biashara
Mwezi uliopita umerudisha kiasi gani kwenye biashara na ulimake kiasi gani

Hizo namba sio lazima uzitaje lakini point ni kwamba unazifahamu( sio uwe unakisia yani actual values)
 
hahaha mkuu🤣
 
Huu Uzi ufugwe rasimi,hicho ndicho anatakiwa kufanya ikiwezekana laki 2 weka Benki laki mbili ongeza mtaji na km hakuna ulazima wa kufanya hivyo Basi usipeleke kwenye biashara,ongeza mtaji kwenye ulazima,km inakusumbua Sana inakubidi ununue assets zingine ili mradi siku ukiyumba ujue unakiwanja Cha million 6 vitatu au vinne ambavyo vitakuinua badae,ni hatari kuona biashara haikui huku unajua kiasi unachoingiza
NB.labda kutakuwa na shida kwenye management maana swala sio kupata tu faida,je ! Hiyo hela au mtaji unakuwepo kwenye mzunguko? Au kunamtu anajichunia taratibu
 
Utakuwa kuna sehemu unatoa hela kwa Raha zako na huweki kwenye hesabu.

Mfano.

1. Kuhonga kwa Raha zako.

2. Kusaidia ndugu zako kama kusomesha

3. Kutoa sadaka na ujenzi wa Kanisa.

Hizo zote unazifanya Tena kwa Raha bila kuhesabu.

Changamoto ya pili ni wewe mwenyewe hunatena uwezo wa kuikuza biashara, nakushauri, uongeze mtu mwenye upeo wa juu zaidi ili akusukume juu zaidi
 
Mkuu nafanya stock taking na hivo vyote unavyovisema
 
Sasa kama faida inarudi kuzunguka katika biashara unasemaje mtaji haukui? Ila biashara za Wasukuma aisee!
Ndio maana tunafanya tathimini ya biashara mwishoni mwa mwaka au baada ya miezi sita kufanya stocktaking,cash in hand,cash at bank,madeni yanayolipika Toka kwa ninao wadai..mwisho wa siku napata thamani ya mtaji je umekua umeongezeka kiasi Gani au umepungua
 
Mpaka nahis ntakua nafanyiwa mambo yakiswahili
ewaaa ndio lengo la mada yako.... cc ni wabongo tunajuanaaa sisi wachawiii tunasomanaa hatufikiri riri tupo kama vibwengo ngo ngo mandondochaaaa vikaragosii baba kwanza mtaji ulipata wapi? Nikupe siri ya utajir
 
ewaaa ndio lengo la mada yako cc ni wabongo tunajuana sisi wachawii tunasomanaa hatufikiriri tupo kama watoto too,, mandondochaaaa vikaragosii baba kwanza mtaji ulipata wapi? Nikupe siri
Mtaji niliupata sababu nakofanyia business before hakukuwa na muamko wa watu kufanya biashara so tulikua tunatengeneza faida nzuri hapo ndipo mtaji ulipokulia
 
Asante kwa ushauri n
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…