Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Putin amepigiwa hesabu ya miaka 10 ijayo.After few weeks Russia alipovamia Ukraine. NATO wakatenga bajeti ya miaka 5 kuisupport Ukraine. Sehemu kubwa ya watu tukasema wazungu wanazingua, Ukraine hawezi maliza miezi miwili akipambana na Russia.
Sasa hivi vita inatembea mwezi wa pili na nusu unatafutwa mwezi wa 3. Mzungu huwa anatumia akili nyingi sana kupiga hesabu zake.
Kuna mwaka Putin atakuja kuondolewa na Warusi wenyewe sababu ya majnga yatakayo ikumba Rusia hasa uchumi