Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mazoea ndio chanzo cha yote, mimi nilipanga shambaulizi kwa shemeji pisi ya mshkaji lakini nimeona ni upuuzi nimeghairi na Mungu anisamehe kwa kuwaka tamaa kwa shem.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi ndio mashemeji 😂😂Hawa mashem shem wauawe
Mashemeji wote wapigwe mawe
Mashemeji wote wachomwe moto
Mana wanafiki sana😂😂😂😂
Uasikia shemeji ooh
Shemeji aah
Ebwana ndugu yetu si anakupenda 😂😂😂
Nimekumbuka tu hii nyimbo 😂😂
😂😂😂Na tutawapiga mawe mnajua nani anatolewa valentine ila mnakausha tu😂😂Utasikia shem simuyake Ilikuwa Haina chajiSisi ndio mashemeji 😂😂
Tunajua hakupendi ila tunakuaminisha unapendwa mpaka akuue kwa ugonjwa wa moyo.
Semaji kuu la mashemeji hapa ✌️
Tunamalizia kabisa alikua kwangu lakin luku ilikuwa imeisha 😆😂😂😂Na tutawapiga mawe mnajua nani anatolewa valentine ila mnakausha tu😂😂Utasikia shem simuyake Ilikuwa Haina chaji
😂😂😂Tunamalizia kabisa alikua kwangu lakin luku ilikuwa imeisha 😆
Nashukuru MUNGU hata mm pamoja na umalaya wangu kwanza hua sisevu namba za mashemeji hata iwejeMimi na kupenda kwangu totoz daah sijawahi kutamani shemeji yangu hata awe ameumbika namna gani.
Bwana santos06 kwenye hili mimi sipo meli moja na wewe 😂
Na nyie si mna tuvikundi vyenu
😂😂Sie mawifi hatuna mbamba mba ni ukituchefua tunakuchamba tu hatutiani moyo kama nyie😂Na nyie si mna tuvikundi vyenu
😂😂 mke wangu mtarajiwa ajiandae maana kama ni mawifi amewapata😂😂Sie mawifi hatuna mbamba mba ni ukituchefua tunakuchamba tu hatutiani moyo kama nyie😂
Mawifi wakikupenda nao utaenjoy na utaisoma pia maana hata kakayao akiharibu watakwambia Sasa ukiwa huna uvumilivu 😂😂😂😂😂 mke wangu mtarajiwa ajiandae maana kama ni mawifi amewapata
Studio tuletee mawifi wa bibi harusiMawifi wakikupenda nao utaenjoy na utaisoma pia maana hata kakayao akiharibu watakwambia Sasa ukiwa huna uvumilivu 😂😂😂