DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
- Thread starter
- #61
Ushauri wako mbn kama unanirudisha kimasihara tenaTena kaa nae mbali bila hasira
Ila usionyeshe hasira kwake atakugeuzia kibao
Wanawake wengine ni nyoko
Atamwambia mume wake umemtongoza
Na urafiki unakuwa uadui
Jichungeni sana na msg ni ushahidi mkubwa sana huchomoki