DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
- Thread starter
- #41
Asinizoeee😬😬😬🚮Kama una hamu na wanawake oa baba
Uzinzi mbaya sana halafu mke wa mtu.
Inauma sana, vijana acheni kuwa na mazoea na wake za watu na pia kama umeoa ridhika na mke wako
Treat her well, mtoe out hata kama una hela nenda nae holiday muweke karibu.
What's wrong with you guys.
Shem apewe heshima yake na ukoilegeza kwake lazima akutongoze.
Usiwe shoulder wa kuegamiwa