mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Una akili mno. Nay wa Mitego alishaimba; 'shemeji kazima taa umemgeuza demu, we' mku ndugu yangu, unajikuta rijali hunaga cha shemu, we' mku ndugu yangu'.Mimi na kupenda kwangu totoz daah sijawahi kutamani shemeji yangu hata awe ameumbika namna gani.
Bwana santos06 kwenye hili mimi sipo meli moja na wewe [emoji23]
Keep up bro. Huo ndiyo utu. Uhuni wetu na ukichaa wetu usifanye tukose utu na kujiona wajanja