Napata hisia za kumnyandua shemeji yangu

Mazoea ndio chanzo cha yote, mimi nilipanga shambaulizi kwa shemeji pisi ya mshkaji lakini nimeona ni upuuzi nimeghairi na Mungu anisamehe kwa kuwaka tamaa kwa shem.
 
Sisi ndio mashemeji πŸ˜‚πŸ˜‚
Tunajua hakupendi ila tunakuaminisha unapendwa mpaka akuue kwa ugonjwa wa moyo.

Semaji kuu la mashemeji hapa ✌️
 
Sisi ndio mashemeji πŸ˜‚πŸ˜‚
Tunajua hakupendi ila tunakuaminisha unapendwa mpaka akuue kwa ugonjwa wa moyo.

Semaji kuu la mashemeji hapa ✌️
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Na tutawapiga mawe mnajua nani anatolewa valentine ila mnakausha tuπŸ˜‚πŸ˜‚Utasikia shem simuyake Ilikuwa Haina chaji
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Na tutawapiga mawe mnajua nani anatolewa valentine ila mnakausha tuπŸ˜‚πŸ˜‚Utasikia shem simuyake Ilikuwa Haina chaji
Tunamalizia kabisa alikua kwangu lakin luku ilikuwa imeisha πŸ˜†
 
Mimi na kupenda kwangu totoz daah sijawahi kutamani shemeji yangu hata awe ameumbika namna gani.
Bwana santos06 kwenye hili mimi sipo meli moja na wewe πŸ˜‚
Nashukuru MUNGU hata mm pamoja na umalaya wangu kwanza hua sisevu namba za mashemeji hata iweje
 
Nimejikuta naplay hiyo video ili nisikie maongezi ufala huu jamani.
 
Shida ni hio picha ya DP anza kuitoa maana naona ushaanza kuchukua tabia za huyo mwamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…