Kiongozi hivi unaamin kukaa kwake ndani ilhali sisi tupo nje tunashangaa shangaa tu kuna kitu chochote kinaweza kubadilika kwenye huo mfumo ?Tatizo sio kutoka
Tatizo ni mfumo
Anaweza akatoka na kesho yake akaundiwa zengwe akarudishwa
Soma,elimika Ili usiwe mfuata mkumbo wa agenda za watu bila uelewa,hii picha imenifikirisha sana
Kujipambania dhidi ya nini/nani!?Kuna mda itafikia wa Tz watajipambania wenyewe bila kutegemea wanasiasa
Waliomweka ndani wathibitishe mashtaka yake ya uhaini kama anashinda ashinde mahakamani sio kuachwa kinyemelaKiongozi hivi unaamin kukaa kwake ndani ilhali sisi tupo nje tunashangaa shangaa tu kuna kitu chochote kinaweza kubadilika kwenye huo mfumo ?
Shida huyo unayetaka asibitishiwe kuna muda Anachoka maana anateseka yeye tu huku mimi na wewe tupo tumerelax mkuuWaliomweka ndani wathibitishe mashtaka yake ya uhaini kama anashinda ashinde mahakamani sio kuachwa kinyemela
Wahuni wakifanikisha hili wataonea wengi Kwa njia hii
Kesi za kisiasa zinaweza kumalizwa kwa michakato ya kisiasaLissu anatokaje gerezani ikiwa kesi yake haitafika mwisho na kutolewa hukumu.
Heche anataka nani amtoe mahabusu gerezani?
Rais anamsahe mfungwa na sio mahabusu
Mahakama viongozi wasiojielewa wanashangilia ndo hizo zinamuonea Lissu.
Hivi Heche anajielewa kweli?
Vijana wa Tanganyika wameuwa, yeye anaongelewa habari ya maridhiano na CCM?
Watanganyika tuna hasira mno vijana wetu zaidi ya 10,000 wameuwa kutetea haki halafu Heche anabwabwaja maridhiano?
Ili maridhiano yafanyike laZima waliouwa Watanganyika wawajibishwe, Samuya ajiuzulu, katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, na uchaguzi urudiwe.
Wamedhulumu nini?Dhidi ya madhulumat sisiem
Bila raia kuandamana kwa maandamano makubwa hakuna mabadiliko yoyote yatapatikana na hukuna mtu ataachia madaraka hata Lissu akikaa gerezani miaka mia, pia haiwezekani CHADEMA kuacha kuendelea kufanya kazi za siasa kabisa ikiwemo kwenda kuwenye vyombo vya habari inapopata fursa hiyo.Kwa ufahamu wangu japo mdogo naona chadema wameregeza kamba kwenye hoja na misimamo Yao
Kwadababu
1. Kushangilia ushindi fake wa kuruhusuwa kufanya siasa.
Naona mtandao viongozi wa Chadema wakifurahi mno.
Hivi hawa akina Heche wanaona ati mahakama imewatendea haki?😂
2. Media tour ya Heche pale Wasafi
Nilimuona Heche kwenye facial expression akiwa na furaha na ahadi.
Niliona kama ipo programmed
Aliongea mambo kama layman kabisa.
Uso huongeza kuliko maneno
3. Heche anahamisisha Lissu kuachiwa.
Hivi Heche hajui utaratibu wa mahakama kuwa kesi ilifika mahakamani laZima isikilizwe na ifike mwisho
Hukumu haijatoka, makamu anaomba Lissu aachiwe
4. Heche alikuwa anakubali maridhiano kiaina.
Hili lilinishtua kidogo
Tushaweka msimamo, maridhiano hadi, waliouwa wajulikane na wawajibishwe, Samuya ajiuzulu na uchaguzi urudiwe
Heche amesahau yote haya saiv anajichekesha anaongelea usenge wa maridhiano redioni
5 Nilishtuka kuona magazeti na media zinatangaza habari za chadema Kwa bashasha
Hii ilinishtua kidogo
6 Ombi la Heche litakubaliwa na Lissu ataachiwa
7 Samuya hatajiuzulu na uchaguzi hautaridiwa Kwa kifupi hapa Kuna changa la macho
8 Tume itatoa majibu ya kinafiki kuikandia serikali kiaina na kuitaka serikali imuachie Lissu na Serikali itakeleza hilo agizo la tume
Nimekuelewa sana mkuuBila raia kuandamana kwa maandamano makubwa hakuna mabadiliko yoyote yatapatikana na hukuna mtu ataachia madaraka hata Lissu akikaa gerezani miaka mia, pia haiwezekani CHADEMA kuacha kuendelea kufanya kazi za siasa kabisa ikiwemo kwenda kuwenye vyombo vya habari inapopata fursa hiyo.
Kwa ufahamu wangu japo mdogo naona chadema wameregeza kamba kwenye hoja na misimamo Yao
Kwadababu
1. Kushangilia ushindi fake wa kuruhusuwa kufanya siasa.
Naona mtandao viongozi wa Chadema wakifurahi mno.
Hivi hawa akina Heche wanaona ati mahakama imewatendea haki?😂
2. Media tour ya Heche pale Wasafi
Nilimuona Heche kwenye facial expression akiwa na furaha na ahadi.
Niliona kama ipo programmed
Aliongea mambo kama layman kabisa.
Uso huongeza kuliko maneno
3. Heche anahamisisha Lissu kuachiwa.
Hivi Heche hajui utaratibu wa mahakama kuwa kesi ilifika mahakamani laZima isikilizwe na ifike mwisho
Hukumu haijatoka, makamu anaomba Lissu aachiwe
4. Heche alikuwa anakubali maridhiano kiaina.
Hili lilinishtua kidogo
Tushaweka msimamo, maridhiano hadi, waliouwa wajulikane na wawajibishwe, Samuya ajiuzulu na uchaguzi urudiwe
Heche amesahau yote haya saiv anajichekesha anaongelea usenge wa maridhiano redioni
5 Nilishtuka kuona magazeti na media zinatangaza habari za chadema Kwa bashasha
Hii ilinishtua kidogo
6 Ombi la Heche litakubaliwa na Lissu ataachiwa
7 Samuya hatajiuzulu na uchaguzi hautaridiwa Kwa kifupi hapa Kuna changa la macho
8 Tume itatoa majibu ya kinafiki kuikandia serikali kiaina na kuitaka serikali imuachie Lissu na Serikali itakeleza hilo agizo la tume
Huyu Heche ameanza kunuka usaliti mapema sana. Sio wa kumwamini kabisa.Kwa ufahamu wangu japo mdogo naona chadema wameregeza kamba kwenye hoja na misimamo Yao
Kwadababu
1. Kushangilia ushindi fake wa kuruhusuwa kufanya siasa.
Naona mtandao viongozi wa Chadema wakifurahi mno.
Hivi hawa akina Heche wanaona ati mahakama imewatendea haki?😂
2. Media tour ya Heche pale Wasafi
Nilimuona Heche kwenye facial expression akiwa na furaha na ahadi.
Niliona kama ipo programmed
Aliongea mambo kama layman kabisa.
Uso huongeza kuliko maneno
3. Heche anahamisisha Lissu kuachiwa.
Hivi Heche hajui utaratibu wa mahakama kuwa kesi ilifika mahakamani laZima isikilizwe na ifike mwisho
Hukumu haijatoka, makamu anaomba Lissu aachiwe
4. Heche alikuwa anakubali maridhiano kiaina.
Hili lilinishtua kidogo
Tushaweka msimamo, maridhiano hadi, waliouwa wajulikane na wawajibishwe, Samuya ajiuzulu na uchaguzi urudiwe
Heche amesahau yote haya saiv anajichekesha anaongelea usenge wa maridhiano redioni
5 Nilishtuka kuona magazeti na media zinatangaza habari za chadema Kwa bashasha
Hii ilinishtua kidogo
6 Ombi la Heche litakubaliwa na Lissu ataachiwa
7 Samuya hatajiuzulu na uchaguzi hautaridiwa Kwa kifupi hapa Kuna changa la macho
8 Tume itatoa majibu ya kinafiki kuikandia serikali kiaina na kuitaka serikali imuachie Lissu na Serikali itakeleza hilo agizo la tume
Kwanza aseme yupo upande upi isije tunataka kuandika hoja kwa chawa.Unasoma upotoshaji wa wanaccm huku mitandaoni, hadi unatumia upotoshaji huo kama sehemu ya mashaka yako. Lisu hajaombewa kutoka gerezani, bali anatakiwa aachiwe maana waliomfungulia kesi wameshindwa kuendelea na kesi. Ingekuwa kesi inaendelea kisha Heche akataka kesi isimame Lisu aachiwe, hapo shaka yako ingekuwa na msingi.
Lisu ameweka masharti saba, nadhani huyajui. Hakuna popote Lisu anataka akae gerezani ili ww uamini yeye ni mpiganaji, siku zote kajitetea kwenye kesi yake hadi amewashinda, ila kwa sasa anakomolewa. Je unataka aendelee kukaa kimya ama wanacdm wakae kimya hadi serekali iamue kuendelea na kesi? Ni hivi juzi Heche kasema Lisu asipotendewa haki, cdm watafanya maandamano kutaka aachiwe. Je hilo hukusikia?