CHADEMA needs grace , kuna wakati tuwaelewe tu mkuu kulingana na mazingira ya siasa ya nchi yetu yalivyo magumu sana kuanzia kwa raia wenyewe hadi ukatili wa kutisha wa dola.Nimekuelewa sana mkuu
Nilijiandaa wakati naanza kusoma mada yako kukataa fikra zako, hasa baada ya kusoma kichwa cha mada, na sababu moja na mbili.Kwa ufahamu wangu japo mdogo naona chadema wameregeza kamba kwenye hoja na misimamo Yao
Kwadababu
1. Kushangilia ushindi fake wa kuruhusuwa kufanya siasa.
Naona mtandao viongozi wa Chadema wakifurahi mno.
Hivi hawa akina Heche wanaona ati mahakama imewatendea haki?😂
2. Media tour ya Heche pale Wasafi
Nilimuona Heche kwenye facial
expression akiwa na furaha na ahadi.
Niliona kama ipo programmed
Aliongea mambo kama layman kabisa.
Uso huongeza kuliko maneno
3. Heche anahamisisha Lissu kuachiwa. Hivi Heche hajui utaratibu wa mahakama kuwa kesi ilifika mahakamani laZima isikilizwe na ifike mwisho
Hukumu haijatoka, makamu anaomba Lissu aachiwe
4. Heche alikuwa anakubali maridhiano kiaina.
Hili lilinishtua kidogo
Tushaweka msimamo, maridhiano hadi, waliouwa wajulikane na wawajibishwe, Samuya ajiuzulu na uchaguzi urudiwe
Heche amesahau yote haya saiv anajichekesha anaongelea usenge wa maridhiano redioni
5 Nilishtuka kuona magazeti na media zinatangaza habari za chadema Kwa bashasha
Hii ilinishtua kidogo
6 Ombi la Heche litakubaliwa na Lissu ataachiwa
7 Samuya hatajiuzulu na uchaguzi hautaridiwa Kwa kifupi hapa Kuna changa la macho
8 Tume itatoa majibu ya kinafiki kuikandia serikali kiaina na kuitaka serikali imuachie Lissu na Serikali itakeleza hilo agizo la tume
Samahani sana.Kuna wakati hata mhanga wa utekaji itabidi akubali tu chakula na maji kutoka kwa watekaji ili asife aweze kuiona siku nyingine mapambano yaendelee. Nelson Mandela na wenzake ilifika mahali wakakubali majadiliano na maridhiano na makaburu waliowaua na kuwaweka gerezani Waafrika kwa maelfu hadi watoto wadogo.
Hivi umesoma public statement ya CHADEMA? Umemsikiliza Heche?Hata mimi nimeshangaa, Chadema wasifikiri wale watu waliandamana kwa ajili yao, wale ni watu waliochoshwa na maovu ya ccm na chadema wakifanya kosa kuingia kwenye maridhiano damu za watanganyika waliokufa hazitawaacha salama
Polepole, Soka, Mdude na wengineo hawqjulikani walipo na bado wanatakq kuingia kwenye maridhiano.
CHADEMA haiwezi kuwa na UMkonto Wesizwe yake na sio wote wanaweza kufikia levels za Mandela na ANC waliokuwa na support hadi ya wototo wa shule waliokuwa katika Soweto uprising.Samahani sana.
Wakati nikikubaliana kiujumla ma maudhui ya hoja zako; lakini hili la akina Mandela tusilipindishe na kupoteza ukweli ulivyokuwa.
ANC walikuwa na UMkonto wesizwe ikiwa kazini; tofauti kabisa na ilivyo sasa hivi CHADEMA.
Kwa ufahamu wangu japo mdogo naona chadema wameregeza kamba kwenye hoja na misimamo Yao
Kwadababu
1. Kushangilia ushindi fake wa kuruhusuwa kufanya siasa.
Naona mtandao viongozi wa Chadema wakifurahi mno.
Hivi hawa akina Heche wanaona ati mahakama imewatendea haki?😂
2. Media tour ya Heche pale Wasafi
Nilimuona Heche kwenye facial
expression akiwa na furaha na ahadi.
Niliona kama ipo programmed
Aliongea mambo kama layman kabisa.
Uso huongeza kuliko maneno
3. Heche anahamisisha Lissu kuachiwa. Hivi Heche hajui utaratibu wa mahakama kuwa kesi ilifika mahakamani laZima isikilizwe na ifike mwisho
Hukumu haijatoka, makamu anaomba Lissu aachiwe
4. Heche alikuwa anakubali maridhiano kiaina.
Hili lilinishtua kidogo
Tushaweka msimamo, maridhiano hadi, waliouwa wajulikane na wawajibishwe, Samuya ajiuzulu na uchaguzi urudiwe
Heche amesahau yote haya saiv anajichekesha anaongelea usenge wa maridhiano redioni
5 Nilishtuka kuona magazeti na media zinatangaza habari za chadema Kwa bashasha
Hii ilinishtua kidogo
6 Ombi la Heche litakubaliwa na Lissu ataachiwa
7 Samuya hatajiuzulu na uchaguzi hautaridiwa Kwa kifupi hapa Kuna changa la macho
8 Tume itatoa majibu ya kinafiki kuikandia serikali kiaina na kuitaka serikali imuachie Lissu na Serikali itakeleza hilo agizo la tume
Acheni mihemko na hisia za kijingaKwa ufahamu wangu japo mdogo naona chadema wameregeza kamba kwenye hoja na misimamo Yao
Kwadababu
1. Kushangilia ushindi fake wa kuruhusuwa kufanya siasa.
Naona mtandao viongozi wa Chadema wakifurahi mno.
Hivi hawa akina Heche wanaona ati mahakama imewatendea haki?😂
2. Media tour ya Heche pale Wasafi
Nilimuona Heche kwenye facial
expression akiwa na furaha na ahadi.
Niliona kama ipo programmed
Aliongea mambo kama layman kabisa.
Uso huongeza kuliko maneno
3. Heche anahamisisha Lissu kuachiwa. Hivi Heche hajui utaratibu wa mahakama kuwa kesi ilifika mahakamani laZima isikilizwe na ifike mwisho
Hukumu haijatoka, makamu anaomba Lissu aachiwe
4. Heche alikuwa anakubali maridhiano kiaina.
Hili lilinishtua kidogo
Tushaweka msimamo, maridhiano hadi, waliouwa wajulikane na wawajibishwe, Samuya ajiuzulu na uchaguzi urudiwe
Heche amesahau yote haya saiv anajichekesha anaongelea usenge wa maridhiano redioni
5 Nilishtuka kuona magazeti na media zinatangaza habari za chadema Kwa bashasha
Hii ilinishtua kidogo
6 Ombi la Heche litakubaliwa na Lissu ataachiwa
7 Samuya hatajiuzulu na uchaguzi hautaridiwa Kwa kifupi hapa Kuna changa la macho
8 Tume itatoa majibu ya kinafiki kuikandia serikali kiaina na kuitaka serikali imuachie Lissu na Serikali itakeleza hilo agizo la tume
Punguza mihemko msimamo wa chadema uko waziKwa ufahamu wangu japo mdogo naona chadema wameregeza kamba kwenye hoja na misimamo Yao
Kwadababu
1. Kushangilia ushindi fake wa kuruhusuwa kufanya siasa.
Naona mtandao viongozi wa Chadema wakifurahi mno.
Hivi hawa akina Heche wanaona ati mahakama imewatendea haki?😂
2. Media tour ya Heche pale Wasafi
Nilimuona Heche kwenye facial
expression akiwa na furaha na ahadi.
Niliona kama ipo programmed
Aliongea mambo kama layman kabisa.
Uso huongeza kuliko maneno
3. Heche anahamisisha Lissu kuachiwa. Hivi Heche hajui utaratibu wa mahakama kuwa kesi ilifika mahakamani laZima isikilizwe na ifike mwisho
Hukumu haijatoka, makamu anaomba Lissu aachiwe
4. Heche alikuwa anakubali maridhiano kiaina.
Hili lilinishtua kidogo
Tushaweka msimamo, maridhiano hadi, waliouwa wajulikane na wawajibishwe, Samuya ajiuzulu na uchaguzi urudiwe
Heche amesahau yote haya saiv anajichekesha anaongelea usenge wa maridhiano redioni
5 Nilishtuka kuona magazeti na media zinatangaza habari za chadema Kwa bashasha
Hii ilinishtua kidogo
6 Ombi la Heche litakubaliwa na Lissu ataachiwa
7 Samuya hatajiuzulu na uchaguzi hautaridiwa Kwa kifupi hapa Kuna changa la macho
8 Tume itatoa majibu ya kinafiki kuikandia serikali kiaina na kuitaka serikali imuachie Lissu na Serikali itakeleza hilo agizo la tume
Kwa nini unafikiri CHADEMA hawaezi kuwa na support kama hiyo unayoizungumzia ya akina Mandela; kwa kuwa wananyimwa uwanja?CHADEMA haiwezi kuwa na UMkonto Wesizwe yake na sio wote wanaweza kufikia levels za Mandela na ANC waliokuwa na support hadi ya wototo wa shule waliokuwa katika Soweto uprising.
Kabisa.Kwanza aseme yupo upande upi isije tunataka kuandika hoja kwa chawa.
Sijadili chochote na chawa unaweza pita tuKujipambania dhidi ya nini/nani!?
Soma,elimika Ili usiwe mfuata mkumbo wa agenda za watu bila uelewa,hii picha imenifikirisha sana
Ni wapi cdm wametaka Lisu au Lisu mwenyewe anataka kutoka bila kesi kuisha? Lisu anashangaa kwanini kesi yake haitajwi, wala hahitaji hisani ya kuachiwa, kama angetaka kuachiwa kwa hisani ya rais angeshaachiwa muda mrefu.Lissu anatokaje gerezani ikiwa kesi yake haitafika mwisho na kutolewa hukumu.
Heche anataka nani amtoe mahabusu gerezani?
Rais anamsahe mfungwa na sio mahabusu
Mahakama viongozi wasiojielewa wanashangilia ndo hizo zinamuonea Lissu.
Hivi Heche anajielewa kweli?
Vijana wa Tanganyika wameuwa, yeye anaongelewa habari ya maridhiano na CCM?
Watanganyika tuna hasira mno vijana wetu zaidi ya 10,000 wameuwa kutetea haki halafu Heche anabwabwaja maridhiano?
Ili maridhiano yafanyike laZima waliouwa Watanganyika wawajibishwe, Samuya ajiuzulu, katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, na uchaguzi urudiwe.
Una akili nyingiKwa nini unafikiri CHADEMA hawaezi kuwa na support kama hiyo unayoizungumzia ya akina Mandela; kwa kuwa wananyimwa uwanja?
Kwa maana hiyo, ndiyo sababu unafikiri inawalazimu CHADEMA kukubali wanachotaka Samia Suluhu Hassan; mazungumzo na maridhiano ya hadaa na ulaghai?
Hivi bado hamumuelewi Samia ni mtu wa namna gani?
Ni jambo lipi aliweka ahadi na akaitimiza hiyo ahadi?
Hicho kinachosemwa kuwepo mazungumzo hadi sasa hakieleweki ni mazungumzo ya namna gani na nani atashiriki na kuendesha mazungumzo hayo; halafu sisi haraka tunarukia na kuhimiza CHADEMA wakubali mazungumzo?
Mazungumzo hayawezi kuwa na maana yoyote kama yanaendeshwa na hao hao wahalifu.
Naamini CHADEMA wanaposema mazungumzo hawana maana hayo yanayopangwa na Samia na genge lake; halafu wao ndio wanaendesha ajenda ya hayo mazungumzo.
Hayo hayawezi kuwa mazungumzo ya kuwahimiza CHADEMA wayashiriki; na nitashangaa sana ikitokea hivyo.
Wana siasa sio wa kuwaamini bwashee, mabadiliko naamini yatakuja kuletwa na watanzania mwenyewe na sio kikundi cha siasaILa wabongo,
Mbona Huwa nakuonaga uko smart Leo unaandika kama laymanNi wapi cdm wametaka Lisu au Lisu mwenyewe anataka kutoka bila kesi kuisha? Lisu anashangaa kwanini kesi yake haitajwi, wala hahitaji hisani ya kuachiwa, kama angetaka kuachiwa kwa hisani ya rais angeshaachiwa muda mrefu.
Heche anaweka shinikizo Lisu aachiwe sio asamehewe, tengenisha mambo hayo. Maana hakuna sifa yoyote ya Lisu kukaa gerezani huku kesi yake ikiwa haiendelei. Ni kipi huelewi hapo?
Haongelei lugha ya maridhiano kama sehemu ya maslahi binafsi, bali maridhiano yenye uwajibikaji ya kuwa nani alifanya nini, na hatua ni zipi. Hata hivyo Heche amezungumza kama makamu mwenyekiti wa cdm, hakuna popote anapowazuia nyie vijana wa kitamganyika kutoa madai yenu kwa njia yoyote muitakayo. Hata maandamano sio cdm waliagiza wananchi, bali wananchi wenyewe ndio waliamua. Mnakwama wapi kwenye kudai sasa?
Hiyo paragraph ya mwisho mlango uko wazi na wala Heche hajazuia hilo. Labda useme unapiga blabla bila utekelezaji. Fanyia kazi eneo lako, na Heche ana eneo lake na wala hazuii lolote.