CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Sasa kosa liko.wapi hapo kwa Lissu kusema aachiwe huru na kesi zote za Chadema zifutwe ndiyo wanaweza kukaa mezani? Wewe umeleta mada hii kwa nia ovu kawaambie waliokutuma kuwa hatudanganyiki kiboya hivyo.Je, ukimkosoa kiongozi wa CHADEMA unakuwa CCM moja kwa moja? CHADEMA wamekuwa wakikosea katika mambo kadhaa, na ni wajibu wetu kuwakosoa ili chama kinachotegemewa na watu wengi kisije kikakengeuka kabla ya kufikia ukombozi wa kweli.
Ccm na Chadema wamekaa mara ngapi kwenye maridhiano, nini kimepatikana. Kabla ya uchaguzi Ccm walikuwa wanasema waziwazi watafanya maridhiano baada ya uchaguzi, kwa hiyo walijua wataiba kura, wataua halafu watafanya maridhiano.Nijuavyo mimi ni kwamba maridhiano na mazungumzo ni vitu viwili tofauti !
Mnaweza mkaingia kwenye mazungumzo lakini maridhiano yasipatikane katika hayo mazungumzo !
Lakini pia ndani ya mazungumzo yanaweza yakapatikana baadhi ya maridhiano !
Na mazungumzo yakaendelea kufanyika ili kutafuta maridhiano kamili yaweze kupatikana !
Mi naona wanatumia fursa ya "maridhiano"ili jamaa aachiliw huru alafu serikali iliingia kingi jamaa aliachiliwa ageuzie gia hewani aliqmzishe tena.Kwa ufahamu wangu japo mdogo naona chadema wameregeza kamba kwenye hoja na misimamo Yao
Kwadababu
1. Kushangilia ushindi fake wa kuruhusuwa kufanya siasa.
Naona mtandao viongozi wa Chadema wakifurahi mno.
Hivi hawa akina Heche wanaona ati mahakama imewatendea haki?😂
2. Media tour ya Heche pale Wasafi
Nilimuona Heche kwenye facial
expression akiwa na furaha na ahadi.
Niliona kama ipo programmed
Aliongea mambo kama layman kabisa.
Uso huongeza kuliko maneno
3. Heche anahamisisha Lissu kuachiwa. Hivi Heche hajui utaratibu wa mahakama kuwa kesi ilifika mahakamani laZima isikilizwe na ifike mwisho
Hukumu haijatoka, makamu anaomba Lissu aachiwe
4. Heche alikuwa anakubali maridhiano kiaina.
Hili lilinishtua kidogo
Tushaweka msimamo, maridhiano hadi, waliouwa wajulikane na wawajibishwe, Samuya ajiuzulu na uchaguzi urudiwe
Heche amesahau yote haya saiv anajichekesha anaongelea usenge wa maridhiano redioni
5 Nilishtuka kuona magazeti na media zinatangaza habari za chadema Kwa bashasha
Hii ilinishtua kidogo
6 Ombi la Heche litakubaliwa na Lissu ataachiwa
7 Samuya hatajiuzulu na uchaguzi hautaridiwa Kwa kifupi hapa Kuna changa la macho
8 Tume itatoa majibu ya kinafiki kuikandia serikali kiaina na kuitaka serikali imuachie Lissu na Serikali itakeleza hilo agizo la tume
Hivi ni leo wameanza kuzungumza, unakumbuka baada ya Mbowe kuachiwa break ya kwanza ilikuwa ikulu na baada ya hapo wakafunguliwa kufanya mkutano wakati ile ilikuwa haki yao, wakapewa ruzuku iliyokuwa imezuiwa wakati ni haki yao lakini muda mfupi Tundu Lissu aliwatuhumu ccm kuvunja makubaliano kwa hiyo unahisi maridhiano ya sasa hivi yatabadilisha chochote.Unawashauri nini kifanyike??? Maana uhalisia lazima maisha yaendelee! Na chadema hata wakiweka mgomo haisaidii bado! Nchi lazima iendelee na mama Samia ataendelea kuwa Rais! Mimi nafikiri njia rahisi ya kutoka kwenye mkwamo huu ni maridhiano nothing else
Unashauri nini kifanyike?Hivi ni leo wameanza kuzungumza, unakumbuka baada ya Mbowe kuachiwa break ya kwanza ilikuwa ikulu na baada ya hapo wakafunguliwa kufanya mkutano wakati ile ilikuwa haki yao, wakapewa ruzuku iliyokuwa imezuiwa wakati ni haki yao lakini muda mfupi Tundu Lissu aliwatuhumu ccm kuvunja makubaliano kwa hiyo unahisi maridhiano ya sasa hivi yatabadilisha chochote.
Ni kweli CCM hawaaminiki lakini kwa hali iliyopo sasa hivi wewe unaweza kushauri nini kifanyike? Hawa washenzi walitumia mabavu ya majeshi yao kujisimika madarakani na Chadema wao hawana majeshi sasa unafikiri nini kifanyike?Hivi ni leo wameanza kuzungumza, unakumbuka baada ya Mbowe kuachiwa break ya kwanza ilikuwa ikulu na baada ya hapo wakafunguliwa kufanya mkutano wakati ile ilikuwa haki yao, wakapewa ruzuku iliyokuwa imezuiwa wakati ni haki yao lakini muda mfupi Tundu Lissu aliwatuhumu ccm kuvunja makubaliano kwa hiyo unahisi maridhiano ya sasa hivi yatabadilisha chochote.
Ccm wataondoka muda ukifika, sasa hivi wanatambua fika hawapo kwa matakwa ya wananchi ndio maana wanaajili makada wao kwenye vyombo vya usalama.Ni kweli CCM hawaaminiki lakini kwa hali iliyopo sasa hivi wewe unaweza kushauri nini kifanyike? Hawa washenzi walitumia mabavu ya majeshi yao kujisimika madarakani na Chadema wao hawana majeshi sasa unafikiri nini kifanyike?
Hawa CCM tumeshawapa pressure na kisukari yaani hawatawali Kwa rahaNi kweli CCM hawaaminiki lakini kwa hali iliyopo sasa hivi wewe unaweza kushauri nini kifanyike? Hawa washenzi walitumia mabavu ya majeshi yao kujisimika madarakani na Chadema wao hawana majeshi sasa unafikiri nini kifanyike?
Chawa ndiyo kichaka hoja zikishindikana,kama waisrael na holocaust, kila wakiulizwa kwa nini wanaua watu hovyo,jibu lao Hitler alitu-holocaustSijadili chochote na chawa unaweza pita tu
Haki gani unayoizungumzia wewe utakuwa ni moja ya watu wanaotaka lisu aendelee kukaa mahabusu maisha yake yote hapa duniani kwa maslahi yako binafsiUbongo wa bata 🦆
Yaani mfanyie dhulumat Lissu halafu mtake chadema waombe huruma
Kama ni mhaini mpeleke mahakamani apate haki yake huko
Hii ni nchi ya utawala wa sheria
Kila marefu hayakosi kuwa na ncha !Ccm na Chadema wamekaa mara ngapi kwenye maridhiano, nini kimepatikana. Kabla ya uchaguzi Ccm walikuwa wanasema waziwazi watafanya maridhiano baada ya uchaguzi, kwa hiyo walijua wataiba kura, wataua halafu watafanya maridhiano.
Labda nikukumbushe kabla ya uchaguzi kulikuwa na mazungumzo kati ya ccm na chadema lakini yalivunjika baada ya Ccm kumpa kesi ya uhaini Lissu.
Hao watu hawataki maridhiano ila wanavuta muda waendelee kutawala.
Kutoka kisheria kuna njia mbili:Kweli
Hakuna anayependa Lissu akae gerezani
Lissu atoke kisheria na sio Heche kuomba huruma
Chadema ni wajanja sana hawawez kwenda kinyume na wananchi masuala ya kutekwa na mauaji ya oct 2025 bado ni vidonda vikubwa kwa wananchi nje ys mipaka ya CDM.Unasoma upotoshaji wa wanaccm huku mitandaoni, hadi unatumia upotoshaji huo kama sehemu ya mashaka yako. Lisu hajaombewa kutoka gerezani, bali anatakiwa aachiwe maana waliomfungulia kesi wameshindwa kuendelea na kesi. Ingekuwa kesi inaendelea kisha Heche akataka kesi isimame Lisu aachiwe, hapo shaka yako ingekuwa na msingi.
Lisu ameweka masharti saba, nadhani huyajui. Hakuna popote Lisu anataka akae gerezani ili ww uamini yeye ni mpiganaji, siku zote kajitetea kwenye kesi yake hadi amewashinda, ila kwa sasa anakomolewa. Je unataka aendelee kukaa kimya ama wanacdm wakae kimya hadi serekali iamue kuendelea na kesi? Ni hivi juzi Heche kasema Lisu asipotendewa haki, cdm watafanya maandamano kutaka aachiwe. Je hilo hukusikia?