zink
JF-Expert Member
- Sep 18, 2021
- 1,208
- 2,352
Habari za wakati huu wakuu, natumai nyote wazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye mada.
Ni hivi kuna binti mmoja hivi nilifahamiana naye kwenye harakati za kutafuta mkate wa kila siku, yeye ni mtu wa dini sana yani kwenda kanisani kwake Jumatano, Ijumaa na Jumapili zote hakosi na kiumri anacheza miaka 26 na mimi nikiwa na miaka 24.
Sasa katika kukaa tukawa tumeozeana na mwisho wa siku tukabadilishana namba hivyo tukawa tunachat hapa na pale. Ila kwakweli yeye ndio huwa anapenda kunitafuta kwa kunipigia simu mara kwa mara kwa kuniambia mara nimemsusa na bra bra za hapa na pale.
Kuna kipindi nilikuwa mkoa X napiga mishe zangu na yeye akiwa mkoa mwingine nikaona siyo mbaya ngoja nimjaribu kumvuta aje huu mkoa niliopo na ilikua sikukuu ya Christmas akawa ananiambia mara yeye ameokoka hawezi kuja huku nilipo, mara anaogopa mara nimtambulishe wifi kwanza ila baadae nikaona ananiambia ataagaje kwao kuwa anaenda wapi na kufanya nini? Mara gafla akabidilika akasema, mara nimrudie Mungu sijui niende kanisani mara niache dhambi na ikumbukwe kipindi hiki "Sikuwahi kumtongoza".
Sasa majuzi hapa akaniuliza, "Eti ulikuwa unanipenda?" Mimi nikamjibu "Ndiyo". Akasema mbona hukusema siku zote hizo. Mimi nikamwambia nafanya vitendo, siku hizi kutongoza kwa maneno kumepitwa na wakati. Hapa ndiyo kama nikawa nimechochea moto mara akabadilika akasema oooh wanaume waongo, mara hataki mahusiano na mtu, mara kachoka wanaume na uwongo wao, mara anasubili kuolewa mara ana mtu wake. Hapa nashindwa kumuelewa anataka nini huyu kiumbe wakuu?
Shida inakuja na kauli zake za mara wanaume waongo na bra bra zake hizi inamaana kashachezewa vya kutosha kakimbilia kwenye dini kujificha ama maana mimi niliamini huyu mtoto atakuwa safi lakini napata wasi wasi na kauli zake hizi wakuu nifanyaje au nimpotezee tu?