Napata mashaka na vitendo vya mwenza wangu, sijui ana nia au lengo gani

Katika watu ni hatari kwa wake zetu kwenye swala la fedha na miili yao ni Waganga na viongozi wao wa dini.
Mganga na Kiongozi wa dini ni rahisi sana kumtafuna mkeo na pesa akampatia.
Huyo mkeo kapata mganga wa uongo anadanganywa na ataliwa soon
 
Huyu bado sio mke wangu
 
Hatari sana
 
Ayaaaa ushapigwa pini aisee jaribu kuchepuka uone. Nguo zako atazivaaje na kazi peleka mlingotini kwa mtaalam 😛
 
Si umeona uchi mtamu ni huo tu, ngoja sasa nzi ufie kwenye kidonda.
 
Ayaaaa ushapigwa pini aisee jaribu kuchepuka uone. Nguo zako atazivaaje na kazi peleka mlingotini kwa mtaalam 😛
Siwezi kuchepuka kwa sababu hiyo, ila nikiona mambo yamekuwa mabaya zaidi nitamuuliza
 
Mkuu ukisema nimechelewa unamaanisha tayari nimeshapata madhara?
Mkuu unaonekana we ni mtu mwema, huyo mchumba baada ya kugundua hajakubalika kwa bi mkubwa kuna watu aliwashirikisha wakamwambia akukamate, yaani usipindue kwake hata uambiwe nn na nani.

kwa hyo alishapelekwa/alishaenda kwa mtaalamu na hvo vyote anavofanya ni maelekezo ya mtaalamu, kwa hyo mkuu hapa cha kuomba tu ni huyo mtaalamu awe famba ila akiwa wa ukwel, mkuu umekwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…