Napata mashaka na vitendo vya mwenza wangu, sijui ana nia au lengo gani

Napata mashaka na vitendo vya mwenza wangu, sijui ana nia au lengo gani

Mkuu unaonekana we ni mtu mwema, huyo mchumba baada ya kugundua hajakubalika kwa bi mkubwa kuna watu aliwashirikisha wakamwambia akukamate, yaani usipindue kwake hata uambiwe nn na nani.

kwa hyo alishapelekwa/alishaenda kwa mtaalamu na hvo vyote anavofanya ni maelekezo ya mtaalamu, kwa hyo mkuu hapa cha kuomba tu ni huyo mtaalamu awe famba ila akiwa wa ukwel, mkuu umekwisha.
Mkuu ni kweli nipo hatarini lakini siwezi ruhusu hofu initawale, naamini ipo namna naweza kuzuia hili
 
Habarini wadau wa jukwaa hili, nimepata wasiwasi baada ya kuzidi kwa vitendo ambavyo sivielewi kwa mwenza wangu.

Kwanza amekuwa akidai nimpe T-shirt zangu na nimempa kadhaa kwani nilijua ana lengo la kuzivaa tu, lakini sijawahi kumuona akivaa hata moja na sijui zipo wapi.

Pili sikuhizi baada ya kumaliza tendo, ameanza tabia ya kuwa anatoa kitambaa ndani ya pochi yake na kunifuta kisha anakirusisha ndani ya pochi.

Nilimuuliza kwanini usifue hicho kitambaa ila unakiweka kwenye pochi na kukaa nacho, anasema atakifua siku nyingine, lakini kila mara anakuwa nacho na naona bado hakijafuliwa.

Sina nia au mawazo mabaya juu yake lakini vitendo hivi vinanipa mashaka makubwa. Sielewi lengo lake ni nini hasa.

Pia soma: Mzazi wangu hajaridhika na mchumba wangu, hajasema lakini nimeona ishara
lengo lake ni kukuloga acha ujinga
 
mkuu uoga ndo akili, ukiona ktu ni cha kuogofya halafu ww unaona kawaida, jua kuna shida tayari
Mkuu kiukweli sikuhizi nimebadilika sana, ni tofauti sana na mwanzo ila kuna mambo mengi siyaelewi kabisa
 
Ukishagundua mke, mchumba au rafiki wa mahusiano ana mambo ya kishirikina achana nae, anaweza kukuharibu na kuharibu kizazi chako.
Sahihi kabisa mkuu, ni hatari sana kukaa na mtu wa aina hiyo
 
Mkuu nataka nimuulize T shirt zangu zipo wapi na kama hazipo anieleze amezipeleka wapi, alafu nilimpa T shirt safi akakataa akasema anataka ambayo bado sijaifua
Wewe mdau ni mzuri sana kwa story za kuchangamsha genge.
Mada zako ni za kufikirika, hazina uhalisia wowote.
 
Hivi wanawake wamejifunzia wapi kuwapangusa wenzi wao baada ya tendo? Sehemu zote wanawake wanatoa hiyo hudma tamu ispokua wale wa KLM tu. Waganda wameenda mbele zaidi wanafanya hiyo kitu na taulo lililo chovya kwenye maji ya Moto. Yaani waganda we acha tu.
 
downloadfile.gif

Ume copy mahali
 
Back
Top Bottom